Redio (karibu zote) huzungumzia mapenzi wakati wa usiku

Redio (karibu zote) huzungumzia mapenzi wakati wa usiku

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
nimeanza na east africa nikaja clouds nikahamia radio one nikaenda kiss fm, majic fm, passion, 100.5, capital... Zote hizi mida hii mapenzi tu. Hivi hakuna zaidi ya hili?
 
wanahamasisha ngono watanzania wamechoka wameona bora ngono tu kama kipoza moyo, maisha magumu sana
 
Afadhali waanzishe mihadhara ya masomo ya secondary schools k.m lkutoko EA radio leo usiku tutakuwa na somo la Biology kuanzia saa 6-8, historia kuanzia saa 8-9. Binadamu haishii kwa mapenzi na ngono tu. Redio nying sana lakini hazina kipya. Ukija TBR ndio bora liende VOT na CG FM zinaboa sana
 
huo ndo muda wake... wangekuwa wanazungumzia asubuhi ndo ingekuwa kihoja
 
nimeanza na east africa nikaja clouds nikahamia radio one nikaenda kiss fm, majic fm, passion, 100.5, capital... Zote hizi mida hii mapenzi tu. Hivi hakuna zaidi ya hili?

mbona umeiruka rfa,....ungekutana na 'hakuna kulala'...the west radio program ever,....yaani ungefungulia hiyo ni kweli usinge lala mkuu,.....kelele mtindo mmoja...mara ooooooooooooh__________hakuna kulala......hovyo.
 
Ila katika zote hizo clouds diva na magic ni nomaa wanazungumzia kabisa hadi jinsi ya kufanya ngono na kumridhisha mke/mme khaaaa
 
huo ndo muda wake... wangekuwa wanazungumzia asubuhi ndo ingekuwa kihoja

ina maana muda huo lazima yazungumziwe mapenzi? Bora basi yangekuwa ya kiutu uzima. Kuhamasisha ngono kwa vijana tu
 
Hiyo ndiyo starehe pekee iliyobaki kwa mtz. Haibagui ati!
 
ninachoshindwa kuelewa ni kwa nini muda huo umetengwa kwa ajili ya kuzungumzia jambo ambalo kila kukicha linaporomoka. Ninaamini kabisa kuna mambo mengi mazuri tu ambayo yanaweza kuzungumziwa wakati watu wamepumzika vitandani. Huo waweza pia kuwa ni muda mzuri wa kutoa mafunzo ya ujasiriamali maana akili imetulia na muda wa kusikiliza upo
 
Acheni watuliwaze jamani. Nchi hii inavyoboa, tokea asubuhi unasikia habari za wizi wa mali ya uma na watu wanaendelea kuponda raha wala hawakamatwi. Sasa ukirudi home ukaanza kuyawaza yote haya unaweza hata kuitelekeza familia yako.
Angalau hivi vipindi vinatufanya japo kwa masaa machache tusahau siasa hizi chafu za nchi yetu
 
Mi huwa sisikilizi vipindi hivyo,huwa nasikia tu,diva!diva! Kwa watu wengine.
 
mapenzi ni kwa vipi yana run dunia? Au mnazungumzia upendo?
 
Moro ndo baraa redio iman .planet .abood.ukwel fm .redio 5 rfa .kiss . .tibisii zote ni maravee mi uwa naamia chanel e au mgm kukata kiu kabisa
 
Acheni watuliwaze jamani. Nchi hii inavyoboa, tokea asubuhi unasikia habari za wizi wa mali ya uma na watu wanaendelea kuponda raha wala hawakamatwi. Sasa ukirudi home ukaanza kuyawaza yote haya unaweza hata kuitelekeza familia yako.
Angalau hivi vipindi vinatufanya japo kwa masaa machache tusahau siasa hizi chafu za nchi yetu
aiseeh ! Umejitahidi kweli kutetea !
 
Jamani ktk hidunia nyinyi wote mnatafuta pesa ya nn? Kama si kula, kuvaa mapenzi, usijeniambia kujenga hakuna anae lala nje, ww rukaruka kila mahali, soma uwezavyo, pata mabilion, lakin cha mwisho ni lazima ule, uvae, lamwisho mwanamke, haijarishi uko ktk ndoa, waachen ndo sistim ya maisha.
 
Back
Top Bottom