Redio maria acheni udini, nyie kutwa kutwa mambo ya dini ya ukristo na kwaya tu?

Na ile ZBC ya serikali kutwa nzima dini ya kiisilamu!
 
Mbona radio zenu kila siku kumzungumzia allah wenu, acha bangi na malalamiko
 
Hivi una kingamuzi cha Azam Tv ? Kama unacho linganisha na radio Maria.
 
Inawezekana iko kwenye majaribio, hata hivyo mbona station za radio ziko nyingi labda kifaa chako inapatika radio maria tu
 
Unalalamika nini?
. Hao hawahubiri dini, wanahubiri imani yao.

Ukitaka dini nenda kwa wenye dini, Uislam.
 
Ukielewa hiyo redio inamilikiwa na nani, ilianzishwa Kwa madhumuni gani na inaendeshwa Kwa gharama za kina nani naamin utarudi Kuja kutuomba radhi wasomaji na utaufuta huu Uzi.
 
Kuna ule uzi wa jamaa alisema Radio Imaan ina watangazaji wachache wadau wakadai hata shift hao hawapeei na kuna ukata wa fedha waumini wagumu kuchangia.
Inahusiana nini na hii mada?
 
Karibu Ulamaa Hapa Morogoro Usikilize, Utazame, Usome
Kupitia Vyombo Vyetu Pendwa Imaan Utapata Dufu Nzuri Zikuburudishe
Radio Imaan
Television Imaan
Gazette Imaan
 
Kwanini unaisikiliza ? Kungekuwa hakuna choice ningekuelewa ila sidhani kama mawimbi yamekwisha hata wewe leo ukitaka kuanzisha redio ya kukaa kimya bila sauti naweza utaweza...
 
 
Tumsifu Yesu Kristu.
 
Kawaambie Radio Imani waache mawaidha ya kiislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…