Redio ya Cassette Old School inauzwa

Mkuu natafuta radio ya Panasonic casset ninunue kama ukumbusho wa family mzee alikuwa ananipenda sana. Zile Kanda zake ninazo nimebahatila kuzitunza tatizo ni hiyo caset asee.

Zipo Zina mfumo wa kama radio kawaida zilikuwa zinatumika beterry 6 kama sikosei. Hii hapana hakuwahi nunua ya namna hii mzee wangu
 
N
Ndio hii mkuu nauza njoo pm
 
Ww Kama sio lijendi huwezi elewa izi vitu.....
Mimi nipo tangia enzi za santuri lakini swali la mdau lipo valid sana..., kama hizo magnetic cassettes sasa hivi hazipo hicho chombo kina faida gani zaidi ya pambo ? Tena pambo lenyewe linachukua nafasi..., yaani ukubwa wa hilo dubwasha kwa teknolojia ya sasa unaweza kutengeneza mtambo wa kurusha matangazo dunia nzima....
 
Mkuu hiyo inafanya kazi au ilishakufa?

Hizo huwa nazitafuta kwa ajili ya kunyonya nyimbo zilizokwenye cassette/kanda kuziweka katika mfumo wa sasa.
 
1..Anataka awe nayo TU Kama kumbukumbu ( akiiona inamkumbusha mambo yake ya zamani, pengine mzazi, au matukio flani flani )

2.... cassette watu wanazo wametunza ( pengine km kumbukumbu pia ).....mfano mrahisi huyu Nikifa MkeWangu Asiolewe kaongea hapo Juu kwenye comment
 
Sahihi kabisa na sio casset pekee yake hata zile kanda zake. hapa nimetunza saba.
zinatosha kama kuwapa mifano hai wajukuu zangu na hata watoto pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…