Redio ya Cassette Old School inauzwa

Redio ya Cassette Old School inauzwa

Old school, itunze kama kumbukumbu kwa wajukuu zako, waje wasimuliane hii casset babu alikua anasikiliza Kidali poo
Mkuu natafuta radio ya Panasonic casset ninunue kama ukumbusho wa family mzee alikuwa ananipenda sana. Zile Kanda zake ninazo nimebahatila kuzitunza tatizo ni hiyo caset asee.
1730366796370.png

Iwapo fedha sio tatizo, Ingia ebay utapata kila aina ya brand utakayohitaji.

Mfano hiyo pichani
Code:
https://www.ebay.com/itm/205051186321
 
1..Anataka awe nayo TU Kama kumbukumbu ( akiiona inamkumbusha mambo yake ya zamani, pengine mzazi, au matukio flani flani )
Na ndio maana nikasema atunze kama pambo
2.... cassette watu wanazo wametunza ( pengine km kumbukumbu pia ).....mfano mrahisi huyu Nikifa MkeWangu Asiolewe kaongea hapo Juu kwenye comment
Na kumbuka cassette hizi huwa zinaharibika na kuliwa sasa sababu zikiharibika hakuna sehemu ya kwenda kuchukua mpya mwisho wa siku hio kumbukumbu yako itakuwa ni mtambo wa kumuharibia kumbukumbu zake,,,
 
Mwenye huitaji wa hii kitu, wapenzi wa radio za zamani
Dah! Hiyo redio na hizo kreti za bia zimenikumbusha mbali sana! Enzi hizo namiliki baa maeneo ya Chicago, Mkamba (Morogoro)! Halafu nina mzigo wa kanda za kutosha za wanamuziki wa Zaire!! Yaani ilikuwa ni kubadilisha tu hizo deka!
 
Back
Top Bottom