Old school, itunze kama kumbukumbu kwa wajukuu zako, waje wasimuliane hii casset babu alikua anasikiliza Kidali poo
Mkuu natafuta radio ya Panasonic casset ninunue kama ukumbusho wa family mzee alikuwa ananipenda sana. Zile Kanda zake ninazo nimebahatila kuzitunza tatizo ni hiyo caset asee.
https://www.ebay.com/itm/205051186321
Mkuu ni aina hii hii ila brand ni Panasonic. ahsante sanaView attachment 3139748
Iwapo fedha sio tatizo, Ingia ebay utapata kila aina ya brand utakayohitaji.
Mfano hiyo pichaniCode:https://www.ebay.com/itm/205051186321
Mkuu ni aina hii hii ila brand ni Panasonic. ahsante sana
https://www.ebay.com/itm/386888101828
https://www.ebay.com/itm/235270992695
https://www.ebay.com/itm/294770395750
Na ndio maana nikasema atunze kama pambo1..Anataka awe nayo TU Kama kumbukumbu ( akiiona inamkumbusha mambo yake ya zamani, pengine mzazi, au matukio flani flani )
Na kumbuka cassette hizi huwa zinaharibika na kuliwa sasa sababu zikiharibika hakuna sehemu ya kwenda kuchukua mpya mwisho wa siku hio kumbukumbu yako itakuwa ni mtambo wa kumuharibia kumbukumbu zake,,,2.... cassette watu wanazo wametunza ( pengine km kumbukumbu pia ).....mfano mrahisi huyu Nikifa MkeWangu Asiolewe kaongea hapo Juu kwenye comment
Mwenye huitaji wa hii kitu, wapenzi wa radio za zamani
Sasa sisi wateja wako wa baa tukija hapo utatusikilizisha nini?Mwenye huitaji wa hii kitu, wapenzi wa radio za zamani
Body ndiyo hizo creti, au huzioni?Hiyo ni sura ya mbele ya redio ila body hakuna hebu igeuze tuone vizuri!
Dah! Hiyo redio na hizo kreti za bia zimenikumbusha mbali sana! Enzi hizo namiliki baa maeneo ya Chicago, Mkamba (Morogoro)! Halafu nina mzigo wa kanda za kutosha za wanamuziki wa Zaire!! Yaani ilikuwa ni kubadilisha tu hizo deka!Mwenye huitaji wa hii kitu, wapenzi wa radio za zamani
Hizo safari sh ngpMwenye huitaji wa hii kitu, wapenzi wa radio za zamani
Hiyo sehemu ya kuchomeka headphones 🎧 nayo inafanya kazi? Au huko nyuma kuna mahali kuna output nyingine tofauti na output ya za speaker?I
Inafanya kazi vizuri kabisa
Upo mkoa gani
Hiyo sehemu ya kuchomeka headphones 🎧 nayo inafanya kazi? Au huko nyuma kuna mahali kuna output nyingine tofauti na outpu
Inafanya kazi mkuuHiyo sehemu ya kuchomeka headphones 🎧 nayo inafanya kazi? Au huko nyuma kuna mahali kuna output nyingine tofauti na output ya za speaker?
Hiyo tunaweka mp3 unatumia flash na bluetoothMwenye huitaji wa hii kitu, wapenzi wa radio za zamani