Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Note 8 pro, ukiagiza kwa bei ya Leo ni 470000Hiyo bei kubwa Sana mkuu
Dukani hiyo simu unapata Hadi kwa 500k
Tulia mkuu, unauza simu sijawahi kukuponda wala kusema unauza bei kubwa.Hiyo bei kubwa Sana mkuu
Dukani hiyo simu unapata Hadi kwa 500k
Wala sipunguzi mkuu mteja akikosekana naendelea kuitumia haina tatizo.Punguza bei utapata wateja hiyo bei kubwa Sana,
Hata laki 4 sichukui250000 Ipo mfuko wa shati mwamba
Namimi niko China?bei ghali kidogo mkuu
hapa China tutanunua simu hii mpya(6+128G) kwa ¥1200=shilingi laki nne hivi