SOLD: Redmi note 7 Pro inauzwa

SOLD: Redmi note 7 Pro inauzwa

Status
Not open for further replies.

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,321
Reaction score
18,574
Ram 6GB
Storage 128 GB
Battery 4000mAh

Imenunuliwa July mwishoni.
Kila kitu kipo utapewa mpaka risiti.
Haina scratch yoyote.

Bei 600,000 Tsh.

Sababu ya kuuza: Nataka hela nimefulia.
Simu iko Dar.
Mawasiliano: natokahapa@gmail.com
Au PM
IMG_20191008_060406.jpeg
IMG_20191008_060216.jpeg
IMG_20191008_060127.jpeg
IMG_20191008_060115.jpeg
 
Hiyo bei kubwa Sana mkuu
Dukani hiyo simu unapata Hadi kwa 500k
Tulia mkuu, unauza simu sijawahi kukuponda wala kusema unauza bei kubwa.

Relax kabisa sio lazima ukomenti kila mada.
 
Punguza bei utapata wateja hiyo bei kubwa Sana,
Wala sipunguzi mkuu mteja akikosekana naendelea kuitumia haina tatizo.

Kwani nisingekuwa na simu shida yangu ningetatua vipi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom