Reels za Facebook zinakula MB's kuliko hata video za YouTube

Reels za Facebook zinakula MB's kuliko hata video za YouTube

Instagram, Facebook na TikTok zinakula bando fasta.


Kama uko addicted na Instagram, Facebook na TikTok bora ufunge unlimited internet, ulipie kwa mwezi.
 
Mkalidayo kwenye ubora wako
Dotto magari, mwijaku, baba levo, chiefgodlove na juma lokole.

Na kwa taarifa yako wote hawa ni wanakitengo. Watu muhimu sana nchini kwa kutuweka salama.

Na hapa ipo!

Halaaaaa!
 
Inadownload video za mbele, so kama unaangalia video moja inaweza ikadownload video 10 mbele ili ukiwa unascroll uone raha zaidi bila kusubiri loading. Pia ilikuwa inadownload vitu hata kama haujaifungua ili ukifungua usione loading, sijui kama bado inafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom