Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hivii huuu refa hapaswi kuwajibika/kuwajibishwa kwa maamuzi mbovu ya kuwanyima goli Yanga akisema lilikuwa ni goli la offside?
Vipi na yule mshika kibendera nae hapaswi kuwajibika?
Kwa maneno mengine, utaratibu ukoje au ni mpaka Yanga wawasilishe malalamiko rasimi ndio yafanyiwe kazi?
Huyu refa ni wa kufungiwa kabisa..
Sheria hii ya hovyo sana, ila ni nzuri pale inapokubeba.