Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mwamuzi wa Kati hahusiki na offside. Yeye labda aadhibiwe Kwa kushindwa kutafasiri sheria tukio la rafu dhidi Kibabage.Hivii huuu refa hapaswi kuwajibika/kuwajibishwa kwa maamuzi mbovu ya kuwanyima goli Yanga akisema lilikuwa ni goli la offside?
Vipi na yule mshika kibendera nae hapaswi kuwajibika?
Kwa maneno mengine, utaratibu ukoje au ni mpaka Yanga wawasilishe malalamiko rasimi ndio yafanyiwe kazi?
Huyu refa ni wa kufungiwa kabisa..
Sheria hii ya hovyo sana, ila ni nzuri pale inapokubeba.
Tuna la kujifunza kwamba mechi za nyumbani tunashindwa kwa uzembe wetu wenyewe yaani refa unampokea mwenyewe unamtafutia malazi nakadhalika yaani unashindwa kumchangamsha akili na mwili ? uwanja wetu wenyewe km wachawi mnaosema wapo wakwenu wanafanya kazi gani km wapo hahaha [emoji1787]Hivii huuu refa hapaswi kuwajibika/kuwajibishwa kwa maamuzi mbovu ya kuwanyima goli Yanga akisema lilikuwa ni goli la offside?
Vipi na yule mshika kibendera nae hapaswi kuwajibika?
Kwa maneno mengine, utaratibu ukoje au ni mpaka Yanga wawasilishe malalamiko rasimi ndio yafanyiwe kazi?
Huyu refa ni wa kufungiwa kabisa..
Sheria hii ya hovyo sana, ila ni nzuri pale inapokubeba.
Mchukulie nyie hatua na wazee wa jangwani na zenjiHivii huuu refa hapaswi kuwajibika/kuwajibishwa kwa maamuzi mbovu ya kuwanyima goli Yanga akisema lilikuwa ni goli la offside?
Vipi na yule mshika kibendera nae hapaswi kuwajibika?
Kwa maneno mengine, utaratibu ukoje au ni mpaka Yanga wawasilishe malalamiko rasimi ndio yafanyiwe kazi?
Huyu refa ni wa kufungiwa kabisa..
Sheria hii ya hovyo sana, ila ni nzuri pale inapokubeba.
HaweziHivii huuu refa hapaswi kuwajibika/kuwajibishwa kwa maamuzi mbovu ya kuwanyima goli Yanga akisema lilikuwa ni goli la offside?
Vipi na yule mshika kibendera nae hapaswi kuwajibika?
Kwa maneno mengine, utaratibu ukoje au ni mpaka Yanga wawasilishe malalamiko rasimi ndio yafanyiwe kazi?
Huyu refa ni wa kufungiwa kabisa..
Sheria hii ya hovyo sana, ila ni nzuri pale inapokubeba.
Kwa nini tusianze kwanza na Tatu Malogo!!!Tuanze kumchukulia hatua Aragija kwanza mmezoea kubebwa.
Hivii huuu refa hapaswi kuwajibika/kuwajibishwa kwa maamuzi mbovu ya kuwanyima goli Yanga akisema lilikuwa ni goli la offside?
Vipi na yule mshika kibendera nae hapaswi kuwajibika?
Kwa maneno mengine, utaratibu ukoje au ni mpaka Yanga wawasilishe malalamiko rasimi ndio yafanyiwe kazi?
Huyu refa ni wa kufungiwa kabisa..
Sheria hii ya hovyo sana, ila ni nzuri pale inapokubeba.
Umeumbuka.hawezi