pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sas mashabiki wa utopolo wanaumia nin, au tufungue banda la tuition centre kwa msaada zaidNimejaribu kupitia sheria kuhusu dakika za nyongeza lakini ki uharisia na sheria refa yupo sahihi kwa 100%
.someni na nyie kanuni za fifa nimeweka hapa chini
Utopolo wanaojua ni wawili tu bila shaka hao wamekuelewa.Waliobaki hata kama wana PhD wote ni manyumbu tu.Nimejaribu kupitia sheria kuhusu dakika za nyongeza lakini ki uharisia na sheria refa yupo sahihi kwa 100%
.someni na nyie kanuni za fifa nimeweka hapa chini
Waarabu huwa Wana upumbavu mwingi sanaLeo nimecheka mno.
Hii tabia ya kihuni ya kulala lala ya waarabu kwa leo tumefaulu kukomesha.
Azam aliwahi kufanyiwa uhuni na Timu fulani ya Libya akiwa kwake..Azam alihitaji matokeo ya 3-0 ili asonge mbele.
Mpaka half time Azam alikuwa anaongoza 2-0 tayari...
Aiseee, kipindi cha pili mechi ilichezwa dakika 28 tu badala ya 45+
Ilifikia hatua hadi wachezaji 4 wote wamelala chini wanaugulia maumivu feki..na machela ikija hawataki kutoka.
Na mechi ya Bravo wamekomeshwa hivyo hivyoWaarabu huwa Wana upumbavu mwingi sana
Week ya maumivu hii, PoleeeeeeMkiwa mna wahonga Marefa muwape na Helmet kujikinga na Magumi ya wapinzani maana si wapinzani wote wataweza vumilia upuuzi wa filimbi za upande mmoja.
Chomoa kama inauma.Maumivu uliyonayo hata watunisia hawana Maumivu yakizidi muone daktari kwa ushauri zaidi.Mkiwa mna wahonga Marefa muwape na Helmet kujikinga na Magumi ya wapinzani maana si wapinzani wote wataweza vumilia upuuzi wa filimbi za upande mmoja.
Wakati mnashauriwa msivae Sanda mliona watu Wana waonea wivu, Aya ndio Matokeo yake.Chomoa kama inauma.Maumivu uliyonayo hata watunisia hawana Maumivu yakizidi muone daktari kwa ushauri zaidi.
Endelea kuota lakini usisukume mavi usije ukajinyea.Wakati mnashauriwa msivae Sanda mliona watu Wana waonea wivu, Aya ndio Matokeo yake.
Mtaenda kuchezea Karume Sasa mechizenu za shirikisho.
Manara aliweka wazi wenye akili ni wawili tu huko Utopolo. Sishangai hata kuandika tu unashindwa.Wewe uwe mwalimu hata vichaa watakufukuza!Ukiona ulewi kinacho andikwa achana na bandiko, Mimi si Mwalimu wa kufundisha Mbumbumbu.
Kama Rage Ali thibitisha u mbumbumbu wenu nani ata waweza!!