Refa aliyechezesha leo alikuwa sahihi kwa mujibu wa sheria

hiyo goli-kona ilikuwa mechi na coastal union, hahahha metacha kadaka ikamshinda kaingia nayo kwenye mwamba hadi kwenye nyavu refa kasema kona!

leo hawa watu wenye mwiko huko nyuma unahanya nini hapa
 
Mshika kibendera aliamua kipi?
alikuwa mbali kwenye kona ya mashariki, tukio linafanyika kona ya magharibi atajuaje kuwa mpira umeguswa na mchezaji wa singida?? hilo ni eneo la refa wa kati wewe pimbi mwenye mwiko nyuma
 
Wanathimba kwa mwenendo huu hakuna sehwmu tunafika
wewe kenge mwenye mwiko nyuma, tupo fainal sasa hivi unasemaje hakuna sehemu tutafika??
 
Hilo la dakika hakuna asiejua labda kilaza tu, ishu ni ile kona iliyozaa goli
 
Refa ndio mwamuzi wa mwisho pale Kati refa akiwa ameona tukio haina haja kumwangalia mwamuzi ambaye alikua mbali na mpira ulipo lile tukio refa alikua palepale
Haya kasikilize taarifa kutoka bodi ya waamuzi Zanzibar uone walichosema kuhusu tukio la kona
 
alikuwa mbali kwenye kona ya mashariki, tukio linafanyika kona ya magharibi atajuaje kuwa mpira umeguswa na mchezaji wa singida?? hilo ni eneo la refa wa kati wewe pimbi mwenye mwiko nyuma
Ndugu mbumbumbu elewa iyo ni Moja ya kazi ya line na maamuzi yake Yana uhakika kwa asilimia kubwa kwakua yeye anakwenda sambamba na Chak. Anaona mpira uliovuka mstari vizuri kuliko refa wa kati.
 
View attachment 2868181

Soma chronometer hiyo. Dakika za ziada zaidi ya NNE nje ya SITA zilizotolewa, ziliongezwa na matukio gani?
Goli la Simba lilifunywa dakika ya ngapi? Hii uliyoleta hapa ni kuifurahisha nafsi yako jambo ambalo ni zuri kwa afya ya akili. Baada ya goli kufungwa, singida walileta fujo kwa takribani dk 3. Ndizo dakika unazoziona kwenye ubao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…