nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
hiyo goli-kona ilikuwa mechi na coastal union, hahahha metacha kadaka ikamshinda kaingia nayo kwenye mwamba hadi kwenye nyavu refa kasema kona!Sasa mbona hawakulalamikia kona?wangegomea kona sasa....utopolo mnakuwa mnasahau haraka sana,mshasahau game ya azam ya ligi mlipewa goli la ajabu mtu kaenda kuupiga krosi mpira uliokuwa nje ya uwanja tena karibu na mabango kabisa....
Kuna siku mlifungwa goli refa akasema kona[emoji23]na mkaenjoy kenge nyie...
YAANI MPAKA MSEMEEEEEE
leo hawa watu wenye mwiko huko nyuma unahanya nini hapa