Refa aliyechezesha mechi ya Namungo VS Yanga afungiwe

Hawa ndo wachawi wa soka letu na kamwe hatuwezi kuendelea kwa staili hii ..
 
1. Penati feki.
2. Penati inapigwa huku kukiwa na Wachezaji watano ndani ya Box la kumi na nane na Refa ni wa Sita.

Nadhani Marefa wanaiogopa Yanga.
Hii sio kawaida.
Hiyo penati halali na imewalipa namungo mechi ya ligi walipewa goli la hovyo mbele ya yanga msimu uliopita,malipo hapahapa .
Refa akitenga ni halali we lala uamke salama .
Pia leteni VAR yenu ya li TV kesho tuone
 
Refa apigwe viboko hadharani mbele ya familia yake na hii ndiyo iwe adhabu kwa marefa wote wasio kuwa makini.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Mwaka Jana refa alitunyima point tatu Muhimu wakati tunacheza na namungo, refa alikataa goli la Hali kabisa, nasisi tulivumilia nyinyi mlisema tunalalamika Sana.Msimu huu ni zamu yenu kulala mika, Kuweni wapole wenzenu tuliumia kwa miaka mitano.
 
1. Penati feki.
2. Penati inapigwa huku kukiwa na Wachezaji watano ndani ya Box la kumi na nane na Refa ni wa Sita.

Nadhani Marefa wanaiogopa Yanga.
Hii sio kawaida.
Refa aliharibu kabisa mchezo
 
Ni kweli kuna wakati marefa huzibeba team

Lakini kwa hili Tff haina sababu ya kuufumbia macho udhaifu huu wa kikatili
Zile timu 2 za Kariakoo ndo kawaida yenu. Mnabebwa kila mwaka hapo bado yule REFA wa MANYARA hajaibeba Simba.
 
Kale limao husaidia kupooza[emoji16]
 
Kama aliyechezesha game ya biashara united na simba hakufungiwa hadi leo basi itoshe tu kusema acha unafiki maana kumbukumbu zangu kama kweli wewe ni mtu wa haki kwenye mpira ulinyamaza kimya kwamba rafu ile ambayo ilikuwa itoke kadi nyekundu ungesema japo ila upo kishabiki
 
Mkuu mashabiki wengi wa mpira hapa bongo Ni wanafiki tu. Kuna matukio mengi yameishatokea kwenye Michezo iliyotangulia especially Simba sc Ila hatukuona kelele Kama wanavyopiga kwa tukio la Jana ambalo kimsingi upande wangu naona matukio ya kawaida kwenye viwanja vyetu. Mojawapo Ni Hilo la Kennedy Juma kumkita maksudi mchezaji wa Biashara United mgongoni Tena akiwa Hana mpira watu mkakaa kimyaaa Kama Hakuna lililotokea. Kama tunataka kuwa fair Basi tusiwe bias hapo ndipo kelele zetu zitakuwa na maana. Namalizia kwa kusema Jana Namungo wa walituzidi, penalty ya Yanga Ni halali nimeangalia Mara kadhaa, Ila mazingira ya kupiga penality ndiyo hayakuwa halali maana wachezaji kadhaa walikuwa kwenye box pamoja na mwamuzi. Mechi imeisha hiyo tujipange kwa matukio mengine kwenye mechi zijazo.
 
mkuu unakosea sanaaaa kosa la mtu mwingne hariharalishi ww kutenda kosa hilo eti kwa kigezo cha kusema mbona furani Ali Fanya hivo weka mbal ushabiki kweny mambo ya msingi
 
Hatukatai kuna penalty zinaweza kuwa sio halali na ili kung'amua hilo utahitaji kuangalia marudio hata mara tatu kujua kwamba mchezaji kadanganya hapa namuongelea mchezaji pro kama BENARD MORRISON na huwezi kumlaumu refa sababu ni binadam pia na hapati faida ya marejeo ya picha kama wewe unaye angalia kwenye Tv, lakini ile ya jana tuwe wakweli ilikua ni ya mchongo na mbaya zaidi Fei toto halina akili wala halijui kudanganya ni kama aliambiwa tu adondoke kwenye boksi refa afunike [emoji23][emoji23] ..
 
Mpira ulimshinda kabisa, atoke hadharani aombe Radhi
 
Tatizo uzi umeuandika kishabiki na kiunafiki unafika kumhukumu moja kwa moja bila kutoa uchambuzi

Njoo na uchambuzi utuambia faulo nini na ni kwa nini haikuwa faulo

Na je ni makosa ya moja kwa moja ya refa au eras za kuchezesha mechi

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…