Refa anawabeba R.S.Berkane Wazi wazi


Fainali inachezwa neutral ground,figisu itoke wapi
 
Ifikie wakati hizi fainali za afrika ziwe zinachezewa ulaya na waamuzi wawe wazungu..
Maana kwa hizi rushwa hapana....mzungu haongeki.

Kwanza kama sikosei mwanzo ilikua marefa waarabu mkasema wanawabeba waarabu wenzao , wakaletwa marefa weusi bado mnasema wanawabeba, na sasa mnataka wazungu, mwisho mtataka wahindi au mayahudi waje wachezeshe nako itakua ivyo ivyo. Aise kaazi kweli kweli. Tukubali waarabu wanajua, na hawatumii nguvu kubwa kushinda, akili inatumika pale na ndio maana wamefika mbali.

Kwa mpira nilio utazama berkane wamestahili ushindi hata goli 10. Hongera kwao
 

Dah Kwa kweli nimefurahi sana, sikutegemea kama Berkane wangepindua meza kibabae.
 
Tatizo hakuweza
 
Dah Kwa kweli nimefurahi sana, sikutegemea kama Berkane wangepindua meza kibabae.

Kwenye mitandao ya kijamii asilimia kubwa walikua upande wa mazembe,,sasa mazembe wamepigwa 4G wanalialia na kulaumu, na sababu zao ni zile zile eti refa amelopwa,mara amewabeba, mara waarabu ni matapeli, mara figisu. Ndio maana soka letu haliendelei, maneno mengi vitendo zero.
 
Huyu Refa chizi ila Mazembe mandezi Berkane ya kawaida sana

Refa anajitambua na anafuata sheria

Wachezaji wa mazembe walizidiwa sana sana, first leg huko nyumbani kwao walishinda kagoli kamoja, tena kwa mbinde 🤣 ugenini wamepata kichapo safi kabisa cha 4G. Halafu unasema Berkane ya kawaida sana!!!!
 
Refa anajitambua na anafuata sheria

Wachezaji wa mazembe walizidiwa sana sana, first leg huko nyumbani kwao walishinda kagoli kamoja, tena kwa mbinde 🤣 ugenini wamepata kichapo safi kabisa cha 4G. Halafu unasema Berkane ya kawaida sana!!!!
Niliangalia mechi yote Refa mpumbavu, hawa marefa masikini ni aibu sana
 
Mpira wa afrika ndo ulivyo kila mtu anafanya umafia kwao angekuwa simba kelele zake kutoka kwa gongo wazi zingefika mwezi mzima.
 
Nliwahi kuleta uzi humu kuhusu mpira wa Africa nlisambuliliwa sana nikaonekana mimi shabiki wa Yanga , baadae watu wakaumizwa huko South Africa, leo mmeona wenyewe
Hata hao al ahly hawashindi kihalali Africa kila mtu anashinda kwao.
 
H
Huyo Gassama ni mwarabu?
 

Punguza au acha chuki kwa waarabu, mnawachukia sana jamani mpaka wanashinda sana, sasaa it's enough!

Unasema "hawakua na panic yeyote zaidi ya kushambulia" 🤣, wapi wameshambulia zaidi ya wao kushambuliwa na Berkane!!! Umeangalia mpira ndugu au umehadithiwa??

Unasema 👉🏽"waarabu ndiyo waliokua wakicheza mpira wa nguvu ku force goli..wamecheza rafu nyingi wao na bado refa amepotezea tu" 🤣 mpira wa nguvu vipi ndugu!! Mbona mimi nimecheki game mwanzo mwisho jamaa zako wamepelekewa moto ile mbaya mpaka zimefika 4G unadhani berkane walisimama!!!

Punguzeni chuki, tukubali waarabu wanajua mpira, sisi maneno mengi vitendo zero.
 
Tuwaachie CAF na marefa wao sisi hawatuhusu . Sisi timu zetu zikishiriki huwa ni kupigwa tu nje ndani na kuondoshwa raundi ya kwanza . Lakini tunjifanya kwamba tunajua Sana kutofasri sheria za mpira.
 
Mbona alivyofungwa na mamelod hukuongea huo ujinga wako

Hawa watu wa ajabu mkuu, ingelikua ndio mazembe amecheza na mamelody, na mamelody akashinda goli 4 wasingecomplain hivyo, kosa awe mwarabu watalaumu sana. Huu ujinga sijui watauacha lini, wanakera sana.

Tunajaribu kukemea ubaguzi lakini wapi,,huu ugonjwa ni hatari sana, Mungu atuepushie mbali.
 
Mazembe wameupiga mwingi kumbuka wamechomoa goli la kwanza ndani ya dakika 2 tu...
 
Mazembe wameupiga mwingi kumbuka wamechomoa goli la kwanza ndani ya dakika 2 tu...

Kivipi wameupiga mwingi ndugu au ulivaa miwani ya welding mashine!!




Jionee mwenyewe, Berkane ni zaidi ya Mazembe, nyumbani alishinda goli 1 tena la mbinde, ugenini kapokea kichapo cha mbwa koko, tena wangepigwa hata 10 ingependeza zaidi.
 

Leta record moja kubwa ya timu ya kiarabu kwenye kombe la dunia ukifananisha na hizi za waswahili wenzetu pindi wanapochezeshwa na wazungu.tuanzie hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…