Refa anawabeba R.S.Berkane Wazi wazi

Point yako nini haswaa?
Point yangu ni kwamba waarab wanafigisu sana mechi za ndan ya africa kutokana uwezo wao wakifedha wana dominate soka, ila wakitoka kwenda kombe la dunia ambalo tunaona kule hawana wa kumhonga wanashindwa vibaya walau ma black wanapambana, kama senegal ghana etc kameruni wamechukua hadi kombe lile sijui mabara sijui Olympic. Kwakifupi watu wana hoja berkane walibebwa sana
 

Hakuna cha figisu hapo acheni kulalamika bwana, anaejua mpira anajua tu wala hahitaji nguvu kubwa ni akili na maarifa zinatumika uwanjani, wenzetu wametuzidi mbali sana. Nimetazama 90 minutes sijaona figisu yoyote, refa amechezesha kwa umakini bila kuegemea pande yoyote,, na mazembe walizidiwa mwanzo mwisho, acheni kulalamika, daima zikikutana timu za waarabu na west or south na zikafungwa mnaanza malalamishi mara oh wamebebwa, refa amepewa mpunga, oh figisu nyingi, hebu tuacheni uswahili uswahili wa uyanga na usimba bwana.

Ball possession zinaongea, total shots zinaongea, chances created zinaongea, big chences zinaongea, accurate passes zinaongea, pass success zinaongea, corners zinaongea, on targets zinaongea, passes zinaongea, mnscholslamikia nini!!! haya weka na mazembe yako hapa tuone, maana huko kwao waliambulia goli moja tena kwa mbinde, home away wamepigwa 4G, hapo nani kaonyesha ukubwa?

Ubaguzi bado unalitesa bara letu, na ndio maana soka letu haliendelei,, wenzetu wanaendelea kusonga mbele, sisi maneno mengi vitendo zero.

Kuhusu kombe la dunia, hao unaotumia nguvu kubwa kuwatetea bila mantiki yoyote wamefanya nini kombe la dunia! Atleast Algeria alijitahidi 2014 dhidi ya ujerumani, alimkazia mpaka dakika 90, wakaongezwa na mpira ukaisha kwa 2-1. Hao wengine walifika wapi?

Tuacheni ubaguzi ndugu hata kama kuwachukia sio hivyo tena babaa,, na usijitoe ufahamu kilichotokea kwa egypt dhidi ya senegal, Algeria dhidi ya Cameroon kila mtu aliona na kushuhudia matukio yaliyotokea mpaka aibu.


Nachukia sana ubaguzi.
 

Wewe umeanza kushabikia mpira leo ndio maana unaongea urojo, katika timu zilizofika robo fainali kombe la duni ni tatu tu africa nzima ambazo ni

Cameron 1990
Senegal 2002
Ghana 2010( tena hawa isingekuwa punch ya mkono ya suarez basi ghana walikuwa wanaenda nusu fainali) kumbuka walitolewa kwa mikwaju ya penalt. Hao algeria wako mwaka usiniguse huko waliishia round of 16. Tunasema hivi mechi za ndani wanahonga kwanini ukatae hongo wakati hata huko duniani wanahongana?
 
Wewe umeanza kushabikia mpira leo ndio maana unaongea urojo, katika timu zilizofika robo fainali
Sawa naongea urojo,, wewe unaeleta malalamishi bila evidence, na mimi naekataa maana sina hakika wa hicho unachodai, ni nani yupo sahihi?

Tunasema hivi mechi za ndani wanahonga kwanini ukatae hongo wakati hata huko duniani wanahongana?

Jieupusheni sana na dhana kwani hakika baadhi ya dhana ni dhambi.

Je! Una uhakika wa hicho unachokiongea ni kweli!!
 
Hana njaa ya fedha?
 
Umeanza lini kushabikia mpira?
Huenda kabla yako

Sometimes ushabiki usikusahaulishe ukaingia kwenye dhambi, hapo unadhania kitu ambacho huna uhakika nacho kwakua tu timu yako imefungwa. Kubali matokea mpira ndivyo ulivyo mkuu. Kama ni figisu sote ha2jui/hatuna uhakika kama wamebebwa,,
 

Wewe unachanganya mambo alafu hujaelewa hadi sasa unapigania nini, mpira haramu na una sharti zake ili uwe halali lakini sisi hapa hatuzunguzmii uharamu ama uhalali wa mpira tunazungumza fact, unasema kabla yangu wakatu huna hata data za timu gani africa kufanya vzr zaidi kwenye michuano ngazi ya dunia. Ndio nikakuambia huu mjadala mm sihitaji kufanya na ww maana naona tunapoteza muda tu
 
Sawa, endelea kudhania tu wakati huna uhakika unachokiongea.

Ushauri wangu, acha dhana!
Dhani ipi wewe jahili? Nimekutajia timu tatu bora kabisa africa na miaka yao waliofika mbali, nikakuuliza unamjua Sepp Blatter? Ukasema humjui sasa nadhani nini? Au unataka tuache mpira tujadili dini? Kama unataka tujadili dini leta hoja ya dini?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…