NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Sawa afande RamaKuna uzi upo live kuhusu hiyo mechi, ulipaswa ukacomment huko. Dogo acha ushamba wa kufungua nyuzi hovyo zawadi haziji hivyo
Kwa hali ilivyokuwa, binafsi naona ni sahihi kufungua uzi maalum kwa ajili hiyo! Kwa kipindi cha kwanza, ule ulikuwa ni ugomvi sio mchezo wa mpira wa miguu. Unaona kabisa mchezaji kamrukia mwenzie, tena kwa hali ya kumuumiza, refa hachukui hatua. Ikafika wakati, ikawa ndio mchezo wenyewe ulivyo.Kuna uzi upo live kuhusu hiyo mechi, ulipaswa ukacomment huko. Dogo acha ushamba wa kufungua nyuzi hovyo zawadi haziji hivyo
Ilikua rugby sio footballKwa hali ilivyokuwa, binafsi naona ni sahihi kufungua uzi maalum kwa ajili hiyo! Kwa kipindi cha kwanza, ule ulikuwa ni ugomvi sio mchezo wa mpira wa miguu. Unaona kabisa mchezaji kamrukia mwenzie, tena kwa hali ya kumuumiza, refa hachukui hatua. Ikafika wakati, ikawa ndio mchezo wenyewe ulivyo.
Hata kutoka kwa Bangala, sina shaka kulitokana na alivyochezewa vibaya dakika za nyuma!
Hatari sana.Kwa hali ilivyokuwa, binafsi naona ni sahihi kufungua uzi maalum kwa ajili hiyo! Kwa kipindi cha kwanza, ule ulikuwa ni ugomvi sio mchezo wa mpira wa miguu. Unaona kabisa mchezaji kamrukia mwenzie, tena kwa hali ya kumuumiza, refa hachukui hatua. Ikafika wakati, ikawa ndio mchezo wenyewe ulivyo.
Hata kutoka kwa Bangala, sina shaka kulitokana na alivyochezewa vibaya dakika za nyuma!