Refa anayechezesha mchezo wa Dodoma jiji na Azam Fc hafai katika ligi yetu, matukio ya ajabu (rafu) anafumbia macho

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hatuwezi kujisifu kuwa ligi yetu ni Bora wakati Kuna marefa wasiojua Nini wanachokifanya.

Marefa wa ligi yetu hii huwa wanachezesha vizuri Simba na Yanga tu lakini kwa timu nyingine hakuna wanachokifanya.

Na ndiyo maana hakuna marefa wanaoitwa kuchezeshwa michuano ya CAF.
 
Kuna uzi upo live kuhusu hiyo mechi, ulipaswa ukacomment huko. Dogo acha ushamba wa kufungua nyuzi hovyo zawadi haziji hivyo
 
Kwa hali ilivyokuwa, binafsi naona ni sahihi kufungua uzi maalum kwa ajili hiyo! Kwa kipindi cha kwanza, ule ulikuwa ni ugomvi sio mchezo wa mpira wa miguu. Unaona kabisa mchezaji kamrukia mwenzie, tena kwa hali ya kumuumiza, refa hachukui hatua. Ikafika wakati, ikawa ndio mchezo wenyewe ulivyo.
Hata kutoka kwa Bangala, sina shaka kulitokana na alivyochezewa vibaya dakika za nyuma!
 
Ilikua rugby sio football
 
Hatari sana.
 
Back
Top Bottom