Refa apuyanga, awapa tuta jepesi mno Prison wakicheza dhidi ya Fountain Gate leo

Refa apuyanga, awapa tuta jepesi mno Prison wakicheza dhidi ya Fountain Gate leo

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Video clip iko insta kwenye ukurasa wa AzamTv

Refarii katoa penati rahisi sana na ambayo hata watoto wa Umiseta hawawezi kupewa.

Itafute hiyo clip, wakati Tanzania Prisons wakipewa penati iliyopelekea kupata goli la kusawazisha.

Na ikapelekea Tanzania Prisons kupata ushindi wake wa kwanza msimu huu.

Marefa wa bongo🚮🚮🚮
 
Yaani maamuzi ya penalty kwa hivi karibuni yanatia kinyaa.
Singida Fountain Gate wame dhulumiwa kama ilivyo dhulumiwa Dodoma JiJi na Azam.
Makocha Wana sababishiwa taharuki zisizo na maana.
 
Utopolo Kwa Sasa mtu akionyesha meno tu au akicheka Lawama zinaanza...!

Ama Kweli Ubaya Ubwela....yaani Ubaya umerejea
 
Yaani maamuzi ya penalty kwa hivi karibuni yanatia kinyaa.
Singida Fountain Gate wame dhulumiwa kama ilivyo dhulumiwa Dodoma JiJi na Azam.
Makocha Wana sababishiwa taharuki zisizo na maana.
Mwaka malalamiko hadi msimu unaisha
 
Back
Top Bottom