Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Huyo ni Simba mwenzakoUtopolo bana.......hii yote ni Ile penati ya Simba inawauma ....
Mwaka malalamiko hadi msimu unaishaYaani maamuzi ya penalty kwa hivi karibuni yanatia kinyaa.
Singida Fountain Gate wame dhulumiwa kama ilivyo dhulumiwa Dodoma JiJi na Azam.
Makocha Wana sababishiwa taharuki zisizo na maana.
Slogan zingekua zinacheza mngefika mbali tangu enzi za unstoppable, unyama ni mwingi, ubaya ubwela kote tunajipigia tuUtopolo Kwa Sasa mtu akionyesha meno tu au akicheka Lawama zinaanza...!
Ama Kweli Ubaya Ubwela....yaani Ubaya umerejea