ReFa 'Kauzu' apatikana French League!

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
25,225
Reaction score
25,488
Ajikatisha ngwala kwa mchezaji huku akiingilia mchezo wa timu ya Nantes. Baadaye alionekana kutaka kumchota mtama mchezaji huyo. Bila kuridhika na hatua hiyo refa alionyesha ukauzu wake kwa kumlima kadi nyekundu mchezaji,Diego Carlos. Refa huyo anajulikana kama Tony Chapron.
Fuatilia tukio hapa chini.
====
Angejaribu kufanya hivyo uwanja wa Taifa aone cha mtema fayawuudu.!!

 
Refa yupo kwenye move.alafu unamuwekea kiwingu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…