kroo
Member
- Sep 24, 2018
- 58
- 24
Pichani ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt Athumani Kihamia akipiga kura kwenye uchaguzi wa Yanga leo.
Akiwa kule Tume yeye ni refa ila kwenye tukio la leo alikuwa mchezaji.
Kihamia licha ya majukumu mbalimbali aliyopata kuwa nayo na ambayo anaendelea nayo katika ujenzi wa Taifa, hajawahi kuitupa klabu yake kongwe ya Yanga.