Refa leo amecheza mpira

Refa leo amecheza mpira

kroo

Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
58
Reaction score
24
Pichani ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt Athumani Kihamia akipiga kura kwenye uchaguzi wa Yanga leo.

Akiwa kule Tume yeye ni refa ila kwenye tukio la leo alikuwa mchezaji.

Kihamia licha ya majukumu mbalimbali aliyopata kuwa nayo na ambayo anaendelea nayo katika ujenzi wa Taifa, hajawahi kuitupa klabu yake kongwe ya Yanga.


IMG-20190505-WA0010.jpeg
 
Kilabu kikubwa kama hiko unafanyia mkutano kumbi zenye hadhi ya ndanda fc 😏😏
 
Timu kongwe, timu ya wanchi, hahaaaaaa itabaki kileleni, juu mawinguni, hiyooooooo. Hongera Kihamia kwa uzalendo kwa club yako.
 
Back
Top Bottom