Refa Mkenya aliyeteuliwa na FIFA kusimamia kombe la dunia 'anaswa' akipokea rushwa

HIVI UKUONA POST ULIOTOKA KUWEKA MWENZIO KASHAWEKA UNASHINDWA KUVUMILIA UPOTEZEE LOH
 
T
Fifa inasema kuwa refa huyo kwa Jina Aden Range Marwa , ambaye ni mmojawapo wa marefa walioteuliwa na Fifa kushiriki katika kombe la dunia nchini Urusi , hataelekea
Tatizo sio kupewa pesa bali amepewa na kuzipokea kwa dhumuni lipi?
Hapo ndo tunataka maelezo
 
Refarii wa Kenya Aden Range Marwa ameondolewa kuchezesha mechi za Kombe la Dunia nchini Urusi kwa madai ya rushwa. Marwa ni miongoni mwa watuhumiwa wengine wapatao 100 walionaswa katika mkanda wa video na mwandishi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas wakipokea rushwa.
 
Ndo kusema corruption imemcost career yake
 
Itakuwa wametengeneza njama ili Kenya wasitengeneze rekodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…