Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakaibewakichukua pesa ili wafanyenini? habari haijakamilika
zee la mataptap upo?Wakaibe
UKOMEEE KUULIZA UJINGAzee la mataptap upo?
ahahaah leo umepiga ulanzi wa nchi gani?UKOMEEE KUULIZA UJINGA
WE REFA AMEKAMATWA UNAULIZA SABABU GANI KWANI BARMED YULEEE FABKURUMANYOYAA
Umeongea nini hapa mkuu?hili jibu halijubu kilicho ulizwa
tusome vizuri na utuelewe.
nini madhumuni ya kuchukua hizo pesa? wanunukie filimbi au sare za marefa?
Tatizo sio kupewa pesa bali amepewa na kuzipokea kwa dhumuni lipi?Fifa inasema kuwa refa huyo kwa Jina Aden Range Marwa , ambaye ni mmojawapo wa marefa walioteuliwa na Fifa kushiriki katika kombe la dunia nchini Urusi , hataelekea
Sasa na wew hapa umeandika nini chief?Hizo ni njama za wazungu tu, dhidi ya mtu mweusi, kwanini uchunguzi kama huo haukufanyika na huko ulaya?
Sasa na wew hapa umeandika nini chief?Hizo ni njama za wazungu tu, dhidi ya mtu mweusi, kwanini uchunguzi kama huo haukufanyika na huko ulaya?
mkuu kwani vyombo vya habari vya magharibi vinavyoreporti habari mbaya tu za Africa, waandishi wake huwa wazungu?Sasa na wew hapa umeandika nini chief?
Aliye aliye fanya huo uchunguzi ni mzungu au mwafrica?
Daah.., sasa hii ndio inaua soka,unakuta kila siku waarabu wanashinda mechi huku Afrika kwa rushwa tu, wakienda kidunia chali, timu zisizo za waarab za kiafrika ndio zinatutoa kimasomaso
Unataka kumaanisha nn hapa chief..mkuu kwani vyombo vya habari vya magharibi vinavyoreporti habari mbaya tu za Africa, waandishi wake huwa wazungu?
Ndo kusema corruption imemcost career yakeRefarii wa Kenya Aden Range Marwa ameondolewa kuchezesha mechi za Kombe la Dunia nchini Urusi kwa madai ya rushwa. Marwa ni miongoni mwa watuhumiwa wengine wapatao 100 walionaswa katika mkanda wa video na mwandishi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas wakipokea rushwa.