SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Nilikuwa nacheki highlights za mechi ya Singida na JKU kwenye Kombe la Mapinduzi. Kuna goli la Singida lilikataliwa wakazua mzozo na Refa.
Refa kumaliza soo akamlima mchezaji wa Singida Hamad Waziri kadi ya njano huku anamrushia matusi. Inaonyesha kuna maneno ya kuudhi ambayo Waziri alimtamkia Refa wakati wa lile zogo.
Nimecheka sana aisee kwa sababu ukimuangalia Refa unaona kabisa maneno anayotamka.