Yule reffa ni kiazi haswaaa. Aliwapa JKU penati ya Mchongo. Singida wakapata goli halali kabisa lilitokana na beki na kipa wake kugongana na kutoa upenyo kwa singida kupata goli lkn cha ajabu yule Mpemba alikataa lile goli, tusubir wataalam wa futbol watakuja fafanuaNilikuwa nacheki highlights za mechi ya Singida na JKU kwenye Kombe la Mapinduzi. Kuna goli la Singida lilikataliwa wakazua mzozo na Refa.
Refa kumaliza soo akamlima mchezaji wa Singida Hamad Waziri kadi ya njano huku anamrushia matusi. Inaonyesha kuna maneno ya kuudhi ambayo Waziri alimtamkia Refa wakati wa lile zogo.
Nimecheka sana aisee kwa sababu ukimuangalia Refa unaona kabisa maneno anayotamka.
Marefa wa Mapinduzi Wana maelekezo kuhusu timu zào. Mechi ya JKU na SFG ilikuwa na vituko kama Ile ya Azam na Mlandege.Yule reffa ni kiazi haswaaa. Aliwapa JKU penati ya Mchongo. Singida wakapata goli halali kabisa lilitokana na beki na kipa wake kugongana na kutoa upenyo kwa singida kupata goli lkn cha ajabu yule Mpemba alikataa lile goli, tusubir wataalam wa futbol watakuja fafanua
Yule reffa ni kiazi haswaaa. Aliwapa JKU penati ya Mchongo. Singida wakapata goli halali kabisa lilitokana na beki na kipa wake kugongana na kutoa upenyo kwa singida kupata goli lkn cha ajabu yule Mpemba alikataa lile goli, tusubir wataalam wa futbol watakuja fafanua
Hahah yule refa kanifurahisha sana. Kanikumbusha mpira asili yake ni mchezo wa wahuni, anakulima kadi na anakusindikiza na matusi. Siyo leo baadhi ya viongozi wasiojua mpira wanahamaki kwa vitu vidooogo....Kumbe kuna maelekezo kombe libakie zbar.....kuna wakati tutawaachia wacheze wenyewe uhakika komve libakie huko huko wasitusumbue wachezaji wanaumia .....ratiba ya kuchomekeaa
Acheni kulalamika,waamuzi wa mapinduzi mimi nawaelewa sana.Ni kama wa CAF.Marefa wa Mapinduzi Wana maelekezo kuhusu timu zào. Mechi ya JKU na SFG ilikuwa na vituko kama Ile ya Azam na Mlandege.
Fainali ya mwaka jana Singida walinyimwa kombe kwa nguvuKumbe kuna maelekezo kombe libakie zbar.....kuna wakati tutawaachia wacheze wenyewe uhakika komve libakie huko huko wasitusumbue wachezaji wanaumia .....ratiba ya kuchomekeaa
Fainali ya mwaka jana Singida walinyimwa kombe kwa nguvu
Kuna watu mmebarikiwa kuelewa taratibu. Nadhani Kwa Sasa umeelewa udhaifu wa marefa unaotokana naaelekezo.Acheni kulalamika,waamuzi wa mapinduzi mimi nawaelewa sana.Ni kama wa CAF.
Waamuzi wetu huku bara ni wapuuzi mno.Wanapuliza filimbi hovyo hovyo tu hadi mpira unakosa ladha.Yaani akianguka mchezaji wa timu fulani hata kama kapigwa chenga,utasikia kipenga kimelia.
Huenda ninyi ni mashabiki wa hiyo timu ndio tumewazoea kulalamikia waamuzi kila siku
Weka videoNilikuwa nacheki highlights za mechi ya Singida na JKU kwenye Kombe la Mapinduzi. Kuna goli la Singida lilikataliwa wakazua mzozo na Refa.
Refa kumaliza soo akamlima mchezaji wa Singida Hamad Waziri kadi ya njano huku anamrushia matusi. Inaonyesha kuna maneno ya kuudhi ambayo Waziri alimtamkia Refa wakati wa lile zogo.
Nimecheka sana aisee kwa sababu ukimuangalia Refa unaona kabisa maneno anayotamka.