Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Bila kung'atang'ata maneno naiomba TFF wamfungie huyu mwamuzi kwa kitendo cha kutoa kadi nyekundu isiyo ya halali dhidi ya mchezaji wa Namungo katika mchezo unaoendelea hapo uwanja wa Majaliwa .
Ni wazi huyu mwamuzi ni pandikizi lililotumwa ili kujustify tukio la upangaji wa matokeo uliofanywa na Yanga wakishirikiana na Singida Black Stars.
Sisi wanasimba hatukubaliani na upumbavu huu. Tunataka kabumbu safi bila ya mipango ya upangaji wa matokeo