Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
kafanya kama mlivyomuagiza ninyi ili ionekane Simba nayo inapanga matokeoMnaona aibu mnatafuta vichaka vya kujifichia,mshindwe nyie tu refa hastahili lawama muamala wenu kaupata,ila mkimuongezea mwengine mnapata tuta.
Kweli tulisha waagiza hata kwenye mechi za Azam,JKT na Dodoma Jiji. Mshindwe nyie tu.kafanya kama mlivyomuagiza ninyi ili ionekane Simba nayo inapanga matokeo
MKuu katumwa yuleBila kung'atang'ata maneno naiomba TFF wamfungie huyu mwamuzi kwa kitendo cha kutoa kadi nyekundu isiyo ya halali dhidi ya mchezaji wa Namungo katika mchezo unaoendelea hapo uwanja wa Majaliwa .
Ni wazi huyu mwamuzi ni pandikizi lililotumwa ili kujustify tukio la upangaji wa matokeo uliofanywa na Yanga wakishirikiana na Singida Black Stars.
Sisi wanasimba hatukubaliani na upumbavu huu. Tunataka kabumbu safi bila ya mipango ya upangaji wa matokeo
Soka la tiefu efu πBila kung'atang'ata maneno naiomba TFF wamfungie huyu mwamuzi kwa kitendo cha kutoa kadi nyekundu isiyo ya halali dhidi ya mchezaji wa Namungo katika mchezo unaoendelea hapo uwanja wa Majaliwa .
Ni wazi huyu mwamuzi ni pandikizi lililotumwa ili kujustify tukio la upangaji wa matokeo uliofanywa na Yanga wakishirikiana na Singida Black Stars.
Sisi wanasimba hatukubaliani na upumbavu huu. Tunataka kabumbu safi bila ya mipango ya upangaji wa matokeo
Ile kadi nyekundu refa kashikwa wapi? Au tuna angalia matangazo tofauti.Mm yanga damu
Hakuna alieonewa unamshika shika refa na mkusukuma kama unachambua andazi kwenye deli unategemea nn
Kabisa nyie hambebwi mnashinda kwa jasho.Simba ishinde tu, mengine watajuana wenyewe vyura.