Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba afungiwe kuchezesha mechi za ligi kuu ya NBC. Ni wazi ametumwa ili kusawazisha tukio la mechi ya Yanga

Ubaya ubwela.
Kabisa refa naona muamala umesoma,mpo vizuri msimu. Mwendo wa miamala kwa marefa JKT,Azam,Dodoma jiji na leo kama kawa Namungo. Kweli mnavuja jasho ili mpate ushindi tunaona hapa.
 
Huu ndio ubaya ubwela March 8 msiingize hata timu maana refa sio kayoko.
 
Kabisa refa naona muamala umesoma,mpo vizuri msimu. Mwendo wa miamala kwa marefa JKT,Azam,Dodoma jiji na leo kama kawa Namungo. Kweli mnavuja jasho ili mpate ushindi tunaona hapa.
Ubaya ubwela boss. We elewa tu, ubaya ubwela.
 
Tàtizo kubwa NI kwamba Simba mnaona nyie tu ndo mna haki kufungwa na Yanga. Wakifungwa wenzenu mnalalamika sana. Simba mjue kama huwa mna haki ya kufungwa na Yanga na wenzenu pia wanapenda hiyo haki sasa msilalamike kuingiliwa hiyo haki ya kufungwa na Yanga.
 
Timu gani hii! Mpaka ipewe penati ya mchongo, au kadi nyekundu kwa mpinzani wake ndiyo inashinda!!
 
Tunasubilia wakina jemedari na yule domo kubwa Wilson Oruma waje watuambie gsm alivyomuhonga refa wa Leo na iyo kadi watuambie imetokea wapi!
 
Wewe umejuaje kuwa card nyekundu aliyotoa siyo halali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…