Refa wa mechi ya Simba na Yanga ya Machi 8, 2025 ajipange, sisi Yanga hauwezi kuvulimilia huu ujinga unaoendelea

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hatuchoki. HATUUVUMILII.

Naonaa upuuzi unaendelea mechi za Simba.

Nashauri TFF refa mnaemweka siku hiyo mjipange kweli. UPUUZI WA kupeana penalty za ajabu YANGA hatuubebi.

Ujinga wa redkad za ajabu Mhe. Karia YANGA hatuubebi.

Tukutane tar 8 machi, 2025.
 
Hivi kina Bado wapoo
 
Pdidy mkuu unazeeeka Vibaya, miaka 18 JF halafu unachoweza ni kujaza jukwaa la Sports na Nyuzi 6 kuhusu ubishi wa Mpira! This is too low mwamba, hizi mambo waachie Under 17
 
Njooo uwanjan utaelewa und na ov niniini
 
Pdidy mkuu unazeeeka Vibaya, miaka 18 JF halafu unachoweza ni kujaza jukwaa la Sports na Nyuzi 6 kuhusu ubishi wa Mpira! This is too low mwamba, hizi mambo waachie Under 17
Wote TUJAZANE jukwaa la mapenzi mkuu di tutakuwa wahuniii sisi michezo maisha yetuuuu

We baki hukooo
 
Hatuchoki. HATUUVUMILII.

Naonaa upuuzi unaendelea mechi za Simba.

Nashauri TFF refa mnaemweka siku hiyo mjipange kweli. UPUUZI WA kupeana penalty za ajabu YANGA hatuubebi.

Ujinga wa redkad za ajabu Mhe. Karia YANGA hatuubebi.

Tukutane tar 8 machi, 2025.
Asiwaruuisu mpate goli kama la mechi ya kwanza la mpira kutoka nje,na tukipata penalty tena atupatie.
 
Napitatu

Anaitwa stephane mwasika
Master
Waendeleee
 
Attachments

  • IMG_5354.jpeg
    IMG_5354.jpeg
    54.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153918.jpg
    Screenshot_20250220-153918.jpg
    383.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20250220-153922.jpg
    Screenshot_20250220-153922.jpg
    363.2 KB · Views: 2
  • hqdefault.jpg
    hqdefault.jpg
    17.6 KB · Views: 2
  • kimeo.jpg
    kimeo.jpg
    25.6 KB · Views: 3
  • images.jpeg
    images.jpeg
    12.8 KB · Views: 2
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    11.6 KB · Views: 2

Attachments

  • Screenshot_20250220-153650.jpg
    Screenshot_20250220-153650.jpg
    318.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153702.jpg
    Screenshot_20250220-153702.jpg
    351.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153656.jpg
    Screenshot_20250220-153656.jpg
    330.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153653.jpg
    Screenshot_20250220-153653.jpg
    316.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250220-153720.jpg
    Screenshot_20250220-153720.jpg
    298.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153750.jpg
    Screenshot_20250220-153750.jpg
    286.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-153647.jpg
    Screenshot_20250220-153647.jpg
    315.7 KB · Views: 2
Pdidy mkuu unazeeeka Vibaya, miaka 18 JF halafu unachoweza ni kujaza jukwaa la Sports na Nyuzi 6 kuhusu ubishi wa Mpira! This is too low mwamba, hizi mambo waachie Under 17
Acha kupangia watu chakupost ili mradi havunji sheria na taratibu.
 
Mbona unajaza mi uzi kila mara?? Kashtaki TFF...
Halafu na nyie mkome kudhamini mitimu kibao na kupanga matokeo..
 
Wachezaji wa Namungo walikuwa wapole ile jana. Na kama TFF inajitambua, basi wangeanzisha tu tuzo ya timu yenye fair play ili wawape Namungo. Kiukweli ule ujinga wa yule mpuuzi ulikuwa hauvumiliki.
 
Hatuchoki. HATUUVUMILII.

Naonaa upuuzi unaendelea mechi za Simba.

Nashauri TFF refa mnaemweka siku hiyo mjipange kweli. UPUUZI WA kupeana penalty za ajabu YANGA hatuubebi.

Ujinga wa redkad za ajabu Mhe. Karia YANGA hatuubebi.

Tukutane tar 8 machi, 2025.
Tarehe 8 mtafungwa na Simba sc bila hiana. Mtu pekee ambaye mashabiki wa yanga mtamlalamikia siku hiyo ni diarra.Referee wa mechi hiyo hatakuwa na lawama.
 
Hatuchoki. HATUUVUMILII.

Naonaa upuuzi unaendelea mechi za Simba.

Nashauri TFF refa mnaemweka siku hiyo mjipange kweli. UPUUZI WA kupeana penalty za ajabu YANGA hatuubebi.

Ujinga wa redkad za ajabu Mhe. Karia YANGA hatuubebi.

Tukutane tar 8 machi, 2025.
Mechi za simba zinatia aibu na kinyaa....
🚮🚮🚮🚮
 
Wachezaji wa Namungo walikuwa wapole ile jana. Na kama TFF inajitambua, basi wangeanzisha tu tuzo ya timu yenye fair play ili wawape Namungo. Kiukweli ule ujinga wa yule mpuuzi ulikuwa hauvumiliki.
Mkuu wale wachezaji walikuwa na jazba sana,na kama kadi isingetoka muda ule ingetoka kwa mukwala huku pembeni.Hawakywa na nidhamu ndo maana wakaonelewa na tumebaki na maswali.
 
Back
Top Bottom