Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Jazba zote zilisababishwa na mwamuzi kufanya maamuzi yenye double standard.Mkuu wale wachezaji walikuwa na jazba sana,na kama kadi isingetoka muda ule ingetoka kwa mukwala huku pembeni.Hawakywa na nidhamu ndo maana wakaonelewa na tumebaki na maswali.
Mara kadhaa wachezaji wa Namungo walipochezewa rafu, refa alipeta! Halafu akichezewa rafu mchezaji wa simba, anapiga filimbi! Kwa kitendo hiki ilikuwa ni lazima wachezaji wa Namungo kutoka mchezoni. Kwa sababu walihisi wanaonewa.