Refa wa mechi ya Simba na Yanga ya Machi 8, 2025 ajipange, sisi Yanga hauwezi kuvulimilia huu ujinga unaoendelea

Mkuu wale wachezaji walikuwa na jazba sana,na kama kadi isingetoka muda ule ingetoka kwa mukwala huku pembeni.Hawakywa na nidhamu ndo maana wakaonelewa na tumebaki na maswali.
Jazba zote zilisababishwa na mwamuzi kufanya maamuzi yenye double standard.

Mara kadhaa wachezaji wa Namungo walipochezewa rafu, refa alipeta! Halafu akichezewa rafu mchezaji wa simba, anapiga filimbi! Kwa kitendo hiki ilikuwa ni lazima wachezaji wa Namungo kutoka mchezoni. Kwa sababu walihisi wanaonewa.
 
Mkicheza uhuni lazima muadhibiwe.
Mechi ya kwanza kayoko alimeza filimbi penalty tatu za wazi.


Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Simba wanaharibu sana soka la Tanzania, ni aibu timu kubwa kama hii kubebwa bebwa, msimu uliopita walileta figisu za namna hii na kombe likabebwa vile vile, safari hii wanaisoma namba tena, Mwenyezi Mungu hapendezwi na mnachokifanya.
 
Jf Kila mtu refa, kama mmesomea hzo sheria 17 , kwanini msiende kuomba kazi TFF !?.

Hapa ni Ubaya Ubwela tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…