JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es Salaam, huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Tatu Malogo
Oktoba 19; Hakuna Kisingizio …..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezo mkubwa, Refa wa hovyo.KARIAKOO DERBY | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa ndiye refa atakayesimamia Sheria 17 za mchezo wa soka, kesho Oktoba 18, 2024 kwenye #KariakooDerby
Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es Salaam, huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Tatu Malogo
Oktoba 19; Hakuna Kisingizio …..!
Ili mpate penati za mapema na kututoa mchezoni?Mchezo mkubwa, Refa wa hovyo.
Kamati ya marefa na Bodi ya Ligi lazima mtambue Refa wa kati mliyenaye na bora ni Arajiga pekee.
Msione aibu, amewaacha mbali Sana wenzake Quality yake ni kubwa Sana.
Hapana, Tunacho hitaji ni uchezeshaji wa haki bila ku balance mchezo.Ili mpate penati za mapema na kututoa mchezoni?
Mumeshaanza mchechetoHuyu dogo na Tatu Malogo tofauti yao ni jinsia tu. Hakuna mwamuzi hapo.
hamna kitu hapa!KARIAKOO DERBY | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa ndiye refa atakayesimamia Sheria 17 za mchezo wa soka, kesho Oktoba 18, 2024 kwenye #KariakooDerby
Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es Salaam, huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Tatu Malogo
Oktoba 19; Hakuna Kisingizio …..!