Refa wa Mechi ya Simba Vs Yanga ni Ramadhan Kayoko

Ila yanga akili zao wao mda wote ni kulalamika tu.
 
I will be short.

as we speak. karia kawapangia simba matokeo.

aibu ya community shield Inaludi tena kwenye derby. marefa wa ovyo mchezo mkubwa. malengo kuua brand ya ligi. KISA TAMAA

kesho tegemeeni aibu kubwa kwa mwamuzi .malengo ya karia ni kuua ligi yetu kwa rushwa Na kupanga matokeo. yeye analipwa kulinda heshima ya simba tu. yupo kwenye pay roll . hii ndo ubaya ubwela

untill karia is gone, mpira wa Tanzania ni rushwa tu.

hizi Za ndani kabisa.

"REFA KASHAUZA GAME, WANA YANGA MSIPOTEZE Mda"

SIMBA ANAPENALTY, OFFSIDE NA FOUL ZA KUTOSHA, SIMBA AKIPOTEZA DERBY HII LIGI IMEISHA.

KARIA AWEZI RUHUSU HICHO KITU.

MASHABIKI NENDENI KAPOTEZENI MDA WATU WANAMATOKEO YAO, MEZANI.

#KARIAOUT #KARIAMUSTGO

THANK YOU
Povuology
 
Umechanganyikiwa dogo.
 
Kwa Kayoko, Yanga tumekanyaga makaa ya moto; wacheazi wengi sana Yanga wajiandae na kadi. Mimi nilipenda awe Arajiga, refa wa mweye tuzo.
 
KARIAKOO DERBY | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa ndiye refa atakayesimamia Sheria 17 za mchezo wa soka, kesho Oktoba 18, 2024 kwenye #KariakooDerby

Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es Salaam, huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Tatu Malogo

Oktoba 19; Hakuna Kisingizio …..!

wote wana majina ya kiislamu. kuna rafiki yangu mmoja muislamu aliniambia kuwa uislamu unakataza mambo ya soka. sijui alikuwa ni mkweli kiasi gani.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
KARIAKOO DERBY | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa ndiye refa atakayesimamia Sheria 17 za mchezo wa soka, kesho Oktoba 18, 2024 kwenye #KariakooDerby

Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es Salaam, huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Tatu Malogo

Oktoba 19; Hakuna Kisingizio …..!
Huyu wa ovyo sana.
 
Kwa Kayoko, Yanga tumekanyaga makaa ya moto; wacheazi wengi sana Yanga wajiandae na kadi. Mimi nilipenda awe Arajiga, refa wa mweye tuzo.
Wachezaji wa Yanga wanatakiwa wachukue tahadhari ya juu sana kwenye mchezo wa leo.

Maana huyu dogo Ramadhan Kayoko hata kwenye zile mechi za kirafiki alizochezesha kati ya simba na timu za nje, bado alilalamikiwa na wachezaji + bechi la ufundi la hizo timu, kwa sababu tu ya maamuzi yake mabovu na yenye harufu ya upendeleo kwa simba. Kiufupi hakuna refa pale.
 
Back
Top Bottom