Refa wa Mechi ya Simba Vs Yanga ni Ramadhan Kayoko

Ila yanga akili zao wao mda wote ni kulalamika tu.
 
Povuology
 
Umechanganyikiwa dogo.
 
Kwa Kayoko, Yanga tumekanyaga makaa ya moto; wacheazi wengi sana Yanga wajiandae na kadi. Mimi nilipenda awe Arajiga, refa wa mweye tuzo.
 
Hata Sasii alijitahidi kubeba mbumbumbu akashindwa, kimbunga dawa yake ni kukimbia na kujificha, huyu huyu Kayoko na Kipigo kiko pale pale!! Tatu bila zileeee!!
 

wote wana majina ya kiislamu. kuna rafiki yangu mmoja muislamu aliniambia kuwa uislamu unakataza mambo ya soka. sijui alikuwa ni mkweli kiasi gani.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Huyu wa ovyo sana.
 
Kwa Kayoko, Yanga tumekanyaga makaa ya moto; wacheazi wengi sana Yanga wajiandae na kadi. Mimi nilipenda awe Arajiga, refa wa mweye tuzo.
Wachezaji wa Yanga wanatakiwa wachukue tahadhari ya juu sana kwenye mchezo wa leo.

Maana huyu dogo Ramadhan Kayoko hata kwenye zile mechi za kirafiki alizochezesha kati ya simba na timu za nje, bado alilalamikiwa na wachezaji + bechi la ufundi la hizo timu, kwa sababu tu ya maamuzi yake mabovu na yenye harufu ya upendeleo kwa simba. Kiufupi hakuna refa pale.
 
Mechi imeshaisha. Simba kashinda, Utopolo poleni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…