Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ila unapenda/unavutiwa tu kutoa maoni yako kwenye mada zihusuzo hizo timu za ndani bila shaka. Maana hukuwa na sababu pia ya kusema chochote kwenye huu uzi!Nashukuru sijawai kupenda timu za ndani na sivutiwii ata kutazama mechi zao
Tajiri kichwa lakini ndani kutupu.Nashukuru sijawai kupenda timu za ndani na sivutiwii ata kutazama mechi zao
Ohoooo !!!Hakika huyu Mwamuzii wa hii mechi ya leo baina ya Simba na Azam ni refaa wa Mchongo.
Unawezaje kukaa penati ya wazi kama ile baada ya mtu kuunawa mpira ndani ya boksi?
Soka la Bongo kama siasa za Bongo.
Azam wamepigwa!
Tajiri kichwa lakini ndani kutupu.
Hizo ligi unazopenda zilianza kama sisi,walikosea kosea mwisho wa siku wakatengemaa.
Ila unapenda/unavutiwa tu kutoa maoni yako kwenye mada zihusuzo hizo timu za ndani bila shaka. Maana hukuwa na sababu pia ya kusema chochote kwenye huu uzi!