Refaa wa Mchongo

Refaa wa Mchongo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hakika huyu Mwamuzii wa hii mechi ya leo baina ya Simba na Azam ni refaa wa Mchongo.

Unawezaje kukaa penati ya wazi kama ile baada ya mtu kuunawa mpira ndani ya boksi?

Soka la Bongo kama siasa za Bongo.

Azam wamepigwa!
 
Wewe mwenyewe mnafiki tu. Utopolo ikibebwa unapiga kimya sasa unatofauti gani na hao marefa wa hovyo?
 
Makolo walimpiga kipapai refa

Makolo.jpg
 
Wachawi kumbe bila moto hawashindi na kubebwa wamebebwa
 
Hakika huyu Mwamuzii wa hii mechi ya leo baina ya Simba na Azam ni refaa wa Mchongo.

Unawezaje kukaa penati ya wazi kama ile baada ya mtu kuunawa mpira ndani ya boksi?

Soka la Bongo kama siasa za Bongo.

Azam wamepigwa!
Ohoooo !!!
 
Ila unapenda/unavutiwa tu kutoa maoni yako kwenye mada zihusuzo hizo timu za ndani bila shaka. Maana hukuwa na sababu pia ya kusema chochote kwenye huu uzi!

Sijasema maoni popote nafikiri umekurupuka ku quote sehemu sio sahihi
 
Back
Top Bottom