Refarees wa TPL wanatolewa kafala

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Ukiangalia vizuri tatizo hili ni kwa karbu kwa refarees wote wa TPL kutoa maamuzi yaliyo tata utadhani hawajui sheria; hivyo TFF kuna kitu wanatuficha wadau wa soka aidha kuna maagizo hivyo inawalazimu refarees kutokujiamini.


Baada ya matukio haya kila kukicha yanazidi kuwa makubwa sasa wameamua kuwatoa kafara refarees ni ajabu sana PCCB waingilie kati lazima kuna jambo hapa si hivi tu.
 
mkuu nmesikiliza sport Arena leo ya wasafi kuna refa kafunguka kaongea uozo wote wa TFF...huyu Karia hafai...nasikia marefa hawajalipwa karibia mwaka sasa...na wakidai wanatishiwa kufukuzwa...na akaongezea kuwa asilimia kubwa ya marefa wanaochezesha ligi kuu wamewekwa kirushwa... kiufupi yule refa kafunguka kila madudu yote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo cjaipta mkuu ndo maana nikasema tatizo si refaree kuna mahali tunakwama halafu tunauaminisha umma kuwa ni refaree hawa kuna maagizo wamepewa sasa maji yamefika shingoni wanaona taizo ni refaree si kweli kabisa.
 
Ebu tupatie hiyo kutoka sport Arena nasi tujue kitu[emoji2539]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo cjaipta mkuu ndo maana nikasema tatizo si refaree kuna mahali tunakwama halafu tunauaminisha umma kuwa ni refaree hawa kuna maagizo wamepewa sasa maji yamefika shingoni wanaona taizo ni refaree si kweli kabisa.
fuatilia jion...kutakuwa na muendelezo wa kuwataja marefa wasiyo na sifa waliochomekwa kirushwa...refa anatolewa daraja la 3 moja kwa moja hadi ligi kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…