Reflection: Mahusiano, Mapenzi na Urafiki - Tunaelekea wapi?

hapa babu itabidi ulazimishe kukagua hata kama ni ngumu bana!!:redfaces::redfaces:
Hahahahahaaa....hommie bana lol

Ngoja ntatafuta ushauri wa wajukuu zangu.
 
don't blame ya!......i don't at all!kuna mtu alitumia aidii yako kuandika THREAD HII HAPA

YAANI KWA THREAD HIYO TU naweza kujua we ni mtu wa ku-pretend kiasi gani
to be honest, i see nothing wrong with the thread kwasababu iko jukwaa husika... na ndio maana post #1 nilisema kuna mambo yanastahili kwenda jukwaa la wakubwa

Teamo kwa hili nadhani you are just trying to fight kwasababu ya ulivyo but the truth is there kwamba we have issues, we sometimes go too low na forget that MMU ni public forum ambayo hata guests wanasoma and some of them could be underage

for this one i dont need to be corrected, the thread ilipostiwa iko jukwaa la wakubwa mkuu

just think and niambie if you have been fair
 
We hebu ishia huko wenzio tumetoa kiingilio hapa. Na kamari tumeshacheza.

Tawire baba...:mod:😛ray2:

to the end of the tunnel... unfortunately, i see no light at the end of it!!!

The lights at the end of the tunnel, could be an incoming Train.... Watch out!!

Jamani Yesu azaliwe mioyoni mwenu wote.... Mbarikiwe sana
 
ACID kachafua hali ya hewa halafu kakimbia....walah likotokea lakutiokea yeye ndo ataenda selo na si wachangiaji
Mkuu on this one I am dead serious na siwezi kimbia hoja... i had other calls to attend and I am back

Huwezi tetea mambo yasiyofaa kwasababu baba anafanya......... kila jambo na wakati na mahali pake; mimi hufanya yote hayo lakini kwa leo nasema hivi, jukwaa liboreshwe tuwe tunapata shule we used to get

huwezi kwenda kufukua ya jukwaa la wakubwa ukasema haya ndio ya fulani

Kumbuka hata mama zetu wakiwa wenyewe huzungumzia kadhia waliyopata na manesi ila tukitoea wanasema mtoto mwenyewe kakua
 
Tawire baba...:mod:😛ray2:



The lights at the end of the tunnel, could be an incoming Train.... Watch out!!

Jamani Yesu azaliwe mioyoni mwenu wote.... Mbarikiwe sana
Bwana Akumwagie baraka zake.
 
I am very disappointed na the way a few wameamua kuchukua mada watakavyo especially mdogo wangu teamo, i never expected this from him and to be honest if this is how we discuss ideas and advice, then its gonna take us a very long time kuweza kuwa na harmony and stress free life ndani ya MMU. Ningekua simfahamu ningeweza kusema chochote but with all due respect, i cant say much...

To be stress free si lazima kukubali kila kilichopo, bali hata kukubali mgongano wa mawazo na personality but respecting each other

Truly disappointed today

Cest la vie
 
dah! naona supu limeingia mjusi gafla. sredi ya kurekebisha jukwaa ndio imezidi kuchafua mambo.
 

Kwakweli niliielewa vizuri sana thread hii, na ni kweli kuwa kuna mambo mengi sana yanayopaswa kwenda jukwaa la wakubwa ila yanaletwa humu...the best thing to do is to just report them kwa mods ili waihamishe, na sio kulalamika...au ikiwa hiyo haifai, basi ku-ignore threads zote zinazokosa mashiko au kukosa nidhamu..then wale wanaozileta wakose sababu na nguvu ya kufanya hivyo tena..lakini kuna lugha ya jukwaa ambayo lazima iwepo ili ladha ibaki palepale, na tukiipoteza hiyo basi utamu utapungua sana..talking of infii which turned out as a burning issue leo, mimi sioni ubaya wa watu kuwa na swaga yao ambayo inawafanya wainteract bila kukwaza wengine, mfano ni thread ya 'natafuta infii'...baada ya 2-3 pages, the next more than 200 pages were purely interactive na waliokuwemo humo walikuwa wanaelewana wao kwa wao, na ifact haikuwa ikimkera mtu mwingine yeyote...so why a should that thing matter to strangers? watu wengi sana hawaelewi in and out of infii swaga and they just tend to complain and blame

By the way, mambo sijui ya kuliwa tigo (sijui hata unakulaje kampuni ya simu), au sijui natafuta mtu mwenye 'dudu' kubwa are simply crap and nonsense on this forum...and your thread makes more sense on that
 
Acid,
Nisaidie ile signature ya Invisible, siikumbuki vizuri nataka kuitumia. Siwezi kuiona maana natumia simu.
Samahani kwa usumbufu na natanguliza shukrani.
 
Umeiweka vyema GY na nimekuelewa sana... sijalalamika mkuu nimeweka reflection... surely kulalama na reflection are two different stuff

Hii yakuripoti nakubali is the most effective but sisi ni wakubwa na si vibaya kufanya reflection

Hapo kwenye red, sina zaidi ya kusema thanks message delivered
 
Acid,
Nisaidie ile signature ya Invisible, siikumbuki vizuri nataka kuitumia. Siwezi kuiona maana natumia simu.
Samahani kwa usumbufu na natanguliza shukrani.
dah ww mrembo umepotelea wapi? acha kutukimbia bana, its not fair. sorry (acid), imebidi niende ofu topik baada ya kumuona huyu dada.
 
dah ww mrembo umepotelea wapi? acha kutukimbia bana, its not fair. sorry (acid), imebidi niende ofu topik baada ya kumuona huyu dada.
klorokwin...usitoke nje ya mada kwanza. Namalizia shule ya uvumilivu.
 

A beer for arsenal will make this evening even better.......
 
Asante Acid na mimi kwa ruhusa yako naomba nifiche ubumbavu wangu!
 
Well, whatever happened here? Tumeanza personal attacks kwenye mada ambayo it was intended to decide on how better we can put this forum,
Hii imenishangaza kidogo, and its a way to prove ni kwa kiasi gani tunatumia hii forum vibaya.
Let's think clearly jamani, we don't respond to an attack with an attack, that gives both parties lower grades.
Teamo - u have been around long enough to know when an arguement is not worth it,
BTK, Fab - u have laid out ur concerns, stay on it but don't pressure anyone to believe as u do, and please what I have just read up there sounds too low for a great thinker.

Am sorry if by sayin that imemkwaza mtu yeyote lakini let's get back to topic please!! That was way out of it
 
Kuna wakati nyerere alishangaa sana jamaa walipolifuta azimio la arusha, na akatamka maneno kwamba alikua kila akisoma lile azimio haoni kosa wala tatizo lake lakini jamaa wakalifutilia mbali

mie nasema hivi---- sioni tatizo la hii post wala sioni kwanini mtu wangu amereact namna alivyoreact... yaani sielewi kabisa

just too sad kwakweli
 
smiles umeniwahi... but its ok ni wewe buddy!!!! its all about reflection adn what we got is exactly nilichokua nasema wakati naanzisha hii thread, we have lost some respect to each other...

Mambo yote haya yapo si infii, explicit words etc. its just how one address teh public as opposed to adult session

we didnt go further ku-prove a point
 
dah ww mrembo umepotelea wapi? acha kutukimbia bana, its not fair. sorry (acid), imebidi niende ofu topik baada ya kumuona huyu dada.
pamoja sana kada mwenzangu... wanasema ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…