Reflection: Mahusiano, Mapenzi na Urafiki - Tunaelekea wapi?

Asante Acid na mimi kwa ruhusa yako naomba nifiche ubumbavu wangu!
nimekuelewa dadngu

wanasema angenda juu kipungu, hafikilii mbinguni... eniwei ndo hivyo tena
 
Thanks mkuu, leo naangalizia linkin park kigamboni

karibu sana

Nimeshawishika sana kwenda somewhere mikocheni....ingekuwa vema tungekutana pale pamoja na TEAMO ili kubadilishana mawili matatu...he will be on his way too....
 
Nimeshawishika sana kwenda somewhere mikocheni....ingekuwa vema tungekutana pale pamoja na TEAMO ili kubadilishana mawili matatu...he will be on his way too....
tatizo nikija hapo huyo dogo ntamhamishia yeye na meza yake kwenye geti la kuingilia, so i better enjoy marashi ya blue diamond ya Tanzania... will pay the bill via tigo pesa
 

Oh I was soo disappointed as I read this thread thru...
But I hope that shall take a wake up call and get us back to our normal selves!!
Great thinkers.....
 
Oh I was soo disappointed as I read this thread thru...
But I hope that shall take a wake up call and get us back to our normal selves!!
Great thinkers.....
indeed... waswahili wasema mwenda tezi na omo, marejeo ngamani

I am hopeful
 
Mi ngoja niongee kiujumla jumla tu maana kusema kweli nimechelewa hii mada na bado majukumu yamenibada ile nimesoma posts zote

Inanielekeza kwenye jambo moja kuuuubwa kabisa linaloumiza watu wangi: "INTERNET/CYBER GOVERNANCE"....inawezekana kweli?

Maana however much we try to be objective, hatuweza kamwe kumshurutisha mtu ASIPOST au APOST kitu gani na wapi kwa sababu:

  • Wengine ni mambumbu wa sheria za HAPA JF,
  • Wengine wanazijua, wanajifanya mambumbu makusudi, na huenda wanafanya hivo kama kuikomoa/kuattack FORUM kwa ujumla,
  • Hii forum, sio restricted kwa maana ya kuweza kumzuia mtu kujiunga, sasa kila mtu anajiunga na kupost na kwneye msafara wa mamba, kenge pia wamo!
Kutokana na hayo, tutegemee kabisa watu kupost mambo ambayo wengine wetu aidha kwa MORAL STANDARDS tulizojiwekea, ama kwa zile tunazo ASSUME kwamba ni za jamii yetu, hatuyategemei.

Mods wamejaribu kuweka utaratibu, wa nini cha kufanya kwa posts kama hizo ambazo 'hazitufurahisi"....kureport, lakini at a more personal level, ni kuignore!

Hadi hapa, sio vibaya kufanya reflection kama alivosema ACID, lakini tunafanya reflection ya nini? Mi naona vitu vingine viko too obvious, na explanations zake zinafahamika kwa ninavoelewa uelewa wa wengi wetu.

Niseme nimeshtushwa sana na the fact kwamba eti infidelity imefanywa kuwa "theme" ya jukwaa hili! Mi nadhani kama ni CRAP, itaendelea kuwa CRAP tu na mwenye akili zake anajua kitu cha kufanya...hapa tuepuke kuwa too NORMATIVE kwenye issue hii maana kila mtu ameingia hapa kwa hiari yake, na kwa discretion yake atajua ni kipi cha kuchangia na kipi cha kuacha as long as HAKUNA SHERIA za JF zilizovunjwa

Mi nashangaa kwa kweli kwamba hii issue ya infidelity imekujaje kwenye hili bandiko la ACID, na ku-attract so much debate and infuriations, issue ilikuwa na kureflect, na hiyo ndo reflection yangu!
 
ACID nakusubiri rose garden tuangalie mechi.......!

ACHANA NA MIHASIRA YAKO YA KINYALU.njoo fasta basi
 
BTK, Fab - u have laid out ur concerns, stay on it but don't pressure anyone to believe as u do, and please what I have just read up there sounds too low for a great thinker

No one is on that mission. Mine was a call to self-check ourselves if most of us agree that the level of the conversation has sunken to very low levels and I cited 'infidelity' because for a while now it has been the dominant topic of discussion.

Some people didn't like it. And they over-reacted aggresivelly.

But the truth is the truth. If we are going to condemn reprehensible behavior then we should be fair and condemn it all across the board. Good and bad can't occupy the same space at the same time.

Immorality is wrong. End of story.
 
we SMILES hapo juu punguza maruhani bana.

mbona hivyo?
 
Mi nashangaa kwa kweli kwamba hii issue ya infidelity imekujaje kwenye hili bandiko la ACID, na ku-attract so much debate and infuriations, issue ilikuwa na kureflect, na hiyo ndo reflection yangu!
Kamanda..... thanks a zillion

na hiyo ndio issue yangu hapa!!! we didnt go a mile one to bring infii kama main agenda and smartly he/she swayed the mood towards the wrong direction... that is how our mindset are

As you rightly pointed, haihitaji hata kusumbua kichwa kufanya reflection, and that is exactly what i thougt, but after reading so many posts in this thread, i think this reflection was neccesary and timely kwani tuliyoyaona hapa yanatosha kuonyesha nini kimetujaa vichwani

wewe waweza post something ukidhani ni past timer, mwingine akachukua na kufungulia ledger

i guess this is early Christmas message
 

Your totally wright FAB!!!!!!! Why should u expose dirty linen in public, especially the under 18ns. Infidel is immoral should be condemned kwa nguvu zote. Co's apandacho mtu ategemee kuvuna hicho hicho. Si vizuri kufundisha wototo wetu tabia za ushetani!!!!!!!!!!!!!
 
ACID nakusubiri rose garden tuangalie mechi.......!

ACHANA NA MIHASIRA YAKO YA KINYALU.njoo fasta basi
its unfortunate that I am still reflecting and i think there is a lot to learn than to teach in everyday life

Leo ntakua linkin park kuanzia saa mbili kusubiri arsenal na manure game... uje na absolute alcohol iko pale shoppers
 
we ACID hapo juu kumbuka hii ni keyboard tu,hayo mambo ya KUNIFAHAMU PERSONAL tungeyaacha kama yalivyo kwasababu that is a DIFFERENT LIFE au vipi bro?....tujadili hoja ki-jf jf
 
tatizo nikija hapo huyo dogo ntamhamishia yeye na meza yake kwenye geti la kuingilia, so i better enjoy marashi ya blue diamond ya Tanzania... will pay the bill via tigo pesa

That will be like 'drinking via mobile' and paying via TIGO pesa

Mkuu hili neno jitahidi sana kupunguza matumizi yake, maana hali imechafuka na unaweza kujikuta unaambiwa unafagilia huo mtandao
 
Leo ntakua linkin park kuanzia saa mbili kusubiri arsenal na manure game... uje na absolute alcohol iko pale shoppers

Mpwa huko Linkin Park panauzwa gongo na mimi nijisogeze?
 
aisee sikuwahi kufikiri kwamba mwenyekiti unajua kuandika kiasi hichi?
au we ndo jenerali DEFAO....ooops sorry jenerali universe
 
we ACID hapo juu kumbuka hii ni keyboard tu,hayo mambo ya KUNIFAHAMU PERSONAL tungeyaacha kama yalivyo kwasababu that is a DIFFERENT LIFE au vipi bro?....tujadili hoja ki-jf jf
i thought i am responding to your invitation... that that is the JF mature way of returning favors... has the culture changed all of a sudden?
 
halafu we BURN hapo juu hii signecha ukiingia MMU uwe unaifuta SAWA SAWA?:

MIMI SIKUKUPENDA SLAA LAKINI WATANZANIA HAWAKUKUPENDA ZAIDI
 
Niulize swali; utalaanije mada za ngono halafu za uzinzi na mbinu za kufanya uzinzi uzione ni sawa, eti ni za kufurahisha baraza, lakini zingine za "kumegana" na mamkwe na wengineo uzione ni poa tu?

Kama mnataka jukwaa liwe la heshima kidogo basi ni wajibu wetu sote kuwajibika la sivyo jukwaa liendelee tu kuwa kama lilivyo na kama mtu linakuboa usije na wala usichangie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…