Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks mkuu, leo naangalizia linkin park kigamboni
karibu sana
tatizo nikija hapo huyo dogo ntamhamishia yeye na meza yake kwenye geti la kuingilia, so i better enjoy marashi ya blue diamond ya Tanzania... will pay the bill via tigo pesaNimeshawishika sana kwenda somewhere mikocheni....ingekuwa vema tungekutana pale pamoja na TEAMO ili kubadilishana mawili matatu...he will be on his way too....
smiles umeniwahi... but its ok ni wewe buddy!!!! its all about reflection adn what we got is exactly nilichokua nasema wakati naanzisha hii thread, we have lost some respect to each other...
Mambo yote haya yapo si infii, explicit words etc. its just how one address teh public as opposed to adult session
we didnt go further ku-prove a point
indeed... waswahili wasema mwenda tezi na omo, marejeo ngamaniOh I was soo disappointed as I read this thread thru...
But I hope that shall take a wake up call and get us back to our normal selves!!
Great thinkers.....
BTK, Fab - u have laid out ur concerns, stay on it but don't pressure anyone to believe as u do, and please what I have just read up there sounds too low for a great thinker
Kamanda..... thanks a zillionMi nashangaa kwa kweli kwamba hii issue ya infidelity imekujaje kwenye hili bandiko la ACID, na ku-attract so much debate and infuriations, issue ilikuwa na kureflect, na hiyo ndo reflection yangu!
why should you put in writting upuuzi unaofanya huko vichochoroni???mtu anakuja na mada ya 'sheria za infidelity'...unataka kupata nini km sio kupersuade watu wafanye upuuzi unaofanya?.......ubishi pembeni...i think theres more negative impact on this than postive.....na kama mtu umefikiria hili huwezi kuleta mada za hivi jukwaani.:teeth:
its unfortunate that I am still reflecting and i think there is a lot to learn than to teach in everyday lifeACID nakusubiri rose garden tuangalie mechi.......!
ACHANA NA MIHASIRA YAKO YA KINYALU.njoo fasta basi
tatizo nikija hapo huyo dogo ntamhamishia yeye na meza yake kwenye geti la kuingilia, so i better enjoy marashi ya blue diamond ya Tanzania... will pay the bill via tigo pesa
Leo ntakua linkin park kuanzia saa mbili kusubiri arsenal na manure game... uje na absolute alcohol iko pale shoppers
aisee sikuwahi kufikiri kwamba mwenyekiti unajua kuandika kiasi hichi?Mi ngoja niongee kiujumla jumla tu maana kusema kweli nimechelewa hii mada na bado majukumu yamenibada ile nimesoma posts zote
Inanielekeza kwenye jambo moja kuuuubwa kabisa linaloumiza watu wangi: "INTERNET/CYBER GOVERNANCE"....inawezekana kweli?
Maana however much we try to be objective, hatuweza kamwe kumshurutisha mtu ASIPOST au APOST kitu gani na wapi kwa sababu:
Kutokana na hayo, tutegemee kabisa watu kupost mambo ambayo wengine wetu aidha kwa MORAL STANDARDS tulizojiwekea, ama kwa zile tunazo ASSUME kwamba ni za jamii yetu, hatuyategemei.
- Wengine ni mambumbu wa sheria za HAPA JF,
- Wengine wanazijua, wanajifanya mambumbu makusudi, na huenda wanafanya hivo kama kuikomoa/kuattack FORUM kwa ujumla,
- Hii forum, sio restricted kwa maana ya kuweza kumzuia mtu kujiunga, sasa kila mtu anajiunga na kupost na kwneye msafara wa mamba, kenge pia wamo!
Mods wamejaribu kuweka utaratibu, wa nini cha kufanya kwa posts kama hizo ambazo 'hazitufurahisi"....kureport, lakini at a more personal level, ni kuignore!
Hadi hapa, sio vibaya kufanya reflection kama alivosema ACID, lakini tunafanya reflection ya nini? Mi naona vitu vingine viko too obvious, na explanations zake zinafahamika kwa ninavoelewa uelewa wa wengi wetu.
Niseme nimeshtushwa sana na the fact kwamba eti infidelity imefanywa kuwa "theme" ya jukwaa hili! Mi nadhani kama ni CRAP, itaendelea kuwa CRAP tu na mwenye akili zake anajua kitu cha kufanya...hapa tuepuke kuwa too NORMATIVE kwenye issue hii maana kila mtu ameingia hapa kwa hiari yake, na kwa discretion yake atajua ni kipi cha kuchangia na kipi cha kuacha as long as HAKUNA SHERIA za JF zilizovunjwa
Mi nashangaa kwa kweli kwamba hii issue ya infidelity imekujaje kwenye hili bandiko la ACID, na ku-attract so much debate and infuriations, issue ilikuwa na kureflect, na hiyo ndo reflection yangu!
i thought i am responding to your invitation... that that is the JF mature way of returning favors... has the culture changed all of a sudden?we ACID hapo juu kumbuka hii ni keyboard tu,hayo mambo ya KUNIFAHAMU PERSONAL tungeyaacha kama yalivyo kwasababu that is a DIFFERENT LIFE au vipi bro?....tujadili hoja ki-jf jf