nilikamatwa na trafic police tar 17/08/13 maeneo ya mwatex mwanza kwa madai kuwa gari nilyo kuwa reflector nichakavu kwa hivyo nlipe faini nilpo cma sina fedha alichukwa leseni yangu nitaipata mara nitakapo kwenda kulipa.nilpo muuliza nkikutana na trafic mwingine akasema ni mpigie cm. na wasilisha.