Reflexology: Namna ya kutibu magonjwa kwa kutumia mkandamizo

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,370
Reaction score
3,962
Hii ni sayansi ya tiba mbadala inayohusu kukandamiza sehemu za miguuni na kwenye viganja bila kutumia mafuta ya aina yeyote.
Hii sayansi inategemea uwepo wa maeneo(kanda) ambayo yanaakisi viungo vya mwili.kuchezea chezea hayo maeneo au kanda husababisha kuleta uponyaji kwa mgonjwa husika.

Ingawa bado kuna utata kuhusu hii tiba kufikia wengine kuiita sayansi ya uongo na kweli(pseudoscience) lakini nishajionea kwa macho yangu mgonjwa aliekua amepooza alifanyiwa hii dawa na taratibu akapona kabisa.
 

Attachments

  • 1433504112669.jpg
    49.8 KB · Views: 163
  • 1433504193688.jpg
    41.5 KB · Views: 141
hiyo reflexology unaweza ukafanya mwenyewe au ni mtu mwingine ndio afanye?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…