Sina bando la kutosha kwahio sijaangalia hio video...
Lakininkwa knowledge yangu ndogo kuhusu presha ni kwamba kuna aina mbili za presha.
1. Essentian 2. Secondary.
Hii aina ya kwanza inachukua kama 85% ya wagonjwa wote ....na huwa ukipata umepata HAITIBIKI labda cha kufanya ni kuicontrol vizuri ... na ukiweza kuicontrol kwa chakula na mazoezi unaweza kuishi bila kutumia dawa..
Sasa swala la kupona presha mazima kwa kutumia reflexology sio kweli..
Lakino unaweza kutumia hio massage kupunguza presha na kuifanya iwe controlled vizuri.
Maana kuna articles zinasema feet reflexology inapunguza stress sana hivyo inasaidia kushusha na presha.
Lakini kuhusu swala la kupona kabisa sio kweli..