storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Katika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video ya mzee akielezea namna alivyotibiwa ugonjwa wa presha na ganzi ya miguu kwa njia ya reflexology, sasa nataka kujua hii tiba ni ya kweli? na iko vipi?