'Reforms UK' kupiga marufuku ya Visa kwa nchi zinazodai fidia biashara ya utumwa

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Chama cha Reform UK kimesema kuwa kitapiga marufuku utoaji wa visa mpya kwa watu kutoka nchi zinazodai fidia ya utumwa kutoka kwa Uingereza, iwapo kitapata nafasi ya kuunda serikali ijayo. Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho, aliiambia The Daily Telegraph kuwa wito wa kulipwa fidia ni 'wa kukera',

Zia alidai kuwa visa milioni 3.8 tayari zimetolewa katika kipindi cha miaka 20 iliyopita kwa watu kutoka nchi zinazodai fidia hiyo akitaja nchi kama Jamaica, Nigeria na Ghana zinaongeza madai yao ya fidia huku wamekuwa wakipokea misaada kutoka kwa Taasisi za Uingereza.

Ikumbukwe mwezi uliopita, Umoja wa Mataifa ilipitisha azimio la kutambua utumwa wa Waafrika kama Uhalifu dhidi ya Binadamu na na kutoa wito wa kulipwa fidia kama hatua halisi ya kurekebisha makosa ya kihistoria.

1775635666067.png

========== For English Audience =============​

Reform UK would stop issuing visas to people from any country that continues to demand compensation from the UK for its role in the transatlantic trade in enslaved people, the party has said.

Zia Yusuf, the party’s home affairs spokesperson, told the Daily Telegraph that the call for reparations was “insulting”.

He claimed 3.8m visas had been issued over the last two decades to people from countries calling for reparations.

For four centuries, seven European countries, including the UK, enslaved and trafficked more than 15 million Africans across the Atlantic. Historians have linked wealth from enslavement to mass industrialisation in the west.

Last month, the UN voted to describe the transatlantic slave trade as the “gravest crime against humanity” and called for reparations as “a concrete step towards remedying historical wrongs”.

The landmark resolution was backed by the African Union and the Caribbean Community (Caricom). It had been proposed by Ghana’s president, John Dramani Mahama, who said: “Let it be recorded that when history beckoned, we did what was right for the memory of millions who suffered the indignity of slavery.”

The UK and members of the EU abstained from the vote, while the US voted against the resolution, which was not legally binding.

Yusuf told the Telegraph: “A growing number of countries are demanding reparations from Britain. These countries ignore the fact that Britain made huge sacrifices to be the first major power to outlaw slavery and enforce this prohibition.”

He said the “bank is closed and the door is locked” for anyone who wanted to “use history as a weapon to drain our treasury”.

“The United Kingdom is not an ATM for ethnic grievances of the past, and we will no longer tolerate being ridiculed on the world stage,” he continued. “While countries like Jamaica, Nigeria and Ghana ramp up their demands for reparations, the Westminster establishment has rewarded them. Enough is enough.”

Reform UK has previously pledged to scrap international aid for countries demanding reparations.

Source: The Guardian & BBC
 
Utumwa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu na ni sahihi kabisa fidia idaiwe na nchi za kiarabu ambazo pia zilishiriki katika hiyo biashara haramu pia wawemo kwenye orodha ya wanaofaa kudaiwa.

Ila itafutwe namna ya hiyo fidia kuwafikia walengwa ambao ni wananchi kwani fidia ikifika mikononi mwa serikali kama hii ya Tanzania itakuwa ni sawa na kumpa fisi mwenye njaa mtoto amsindikize kwao.
 
Chama cha Reform UK kimetishia kuzuia utoaji wa visa kwa raia wa nchi zinazodai fidia kutokana na utumwa. Nigeria, Ghana, Kenya, Jamaica pamoja na nchi nyingine 15 za Afrika na Karibiani zinaweza kuathiriwa.

Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho, amesema madai ya fidia ni “ya kudhalilisha” na ameonya kuwa United Kingdom haitavumilia tena juhudi za kutumia historia kudai fidia ya kifedha.

Kwa karne nne, mamilioni ya Waafrika walifanywa watumwa na kusafirishwa kuvuka Bahari ya Atlantiki, janga ambalo linahusishwa na utajiri na maendeleo ya viwanda ya mataifa ya Magharibi. Mwezi uliopita, United Nations ilielezea biashara ya utumwa ya kuvuka Atlantiki kama “uhalifu mkubwa zaidi dhidi ya ubinadamu” na kutoa wito wa fidia, azimio lililoungwa mkono na African Union na CARICOM
 
Utumwa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu na ni sahihi kabisa fidia idaiwe na nchi za kiarabu ambazo pia zilishiriki katika hiyo biashara haramu pia wawemo kwenye orodha ya wanaofaa kudaiwa.

Ila itafutwe namna ya hiyo fidia kuwafikia walengwa ambao ni wananchi kwani fidia ikifika mikononi mwa serikali kama hii ya Tanzania itakuwa ni sawa na kumpa fisi mwenye njaa mtoto amsindikize kwao.

Waarabu na Umoja wa Mataifa hawajui kama wewe Imeloa na Wadanganyika wengine Tumedanganywa kwenye historia yetu !!!!

Narudia. Umoja wa Mataifa hakuna sehemu kwenye janga la Utumwa wakatajwa Waarabu !!!

Zaidi ya Propaganda ya kidini ndani ya Tanzania tu ni aibu kabisa!!!!!

kwa kuwausisha Waarabu kwenye biashara ya Utumwa na kuwaacha WAZUNGU‼️

Wakielezewa tu ❗️ Ety Wazungu wakaja kupiga marufuku Biashara ya Utumwa,,

Aibu kubwaa historia yetu ‼️ kwaiyo sisi hatumo kwenye kudai fidia kwa Mzungu❗️

na historia yetu ya Mchongo inataka sasa kama ndio wenzetu watalipwa sisi tumdai mtu sio muhusika yani Mwarabu !!!

Sasa tutaanzaje hata kushutumu tu kwa Mwarabu kwa kuhusika na janga sio lake❗️

ktk maisha yangu yote sijawai sikia kiongozi wangu yoyote wa Serikali ya Tanzania kulalamika kwa kiongozi yoyote wa OMAN kutokana na Utumwa kwamaana wanajua Ukweli ‼️

BIASHARA.ya Mzungu wao ndio wameendesha iyo Biashara kwa miaka na miaka,,

Wenye Akili tujiulize ichi kichekesho cha historia yetu!!

kwanini WAZUNGU wamefichwa kwenye iyo historia yetu!!

na Badala yake madhambi yao WAZUNGU wakabebeshwa Waarabu Kwenye historia yetu!!!

Mfumo Kikristo wa kipindi kabla ya Uhuru ndio Umechangia aya mambo!!!

Sababu Waingereza ndio Wamefanya iyo Biashara na tukumbuke ni Waingereza ndio wametupa Uhuru mezani!!!

Tukapewa na Masharti mengi yakiwemo iyo historia na mengine yakiwemo ya kutokutakiwa kubadilisha Sheria ya Ardhi NK !!!

si Tanzania tu tumebebeshwa aya Mambo ya Mkoloni wetu nchi nyingi za Africa zimepitia aya!!!

kwaiyo zipo nchi zimefuta iyo historia na zengine zimefuta mengine na kuacha iyo historia ya Utumwa kubebeshwa Mwarabu !!!

kutokana na fursa sisi Tanzania tulifuta Sheria ya Ardhi Uingereza ikatubana kuichumi kwa kosa ilo,

Kitendo icho kilisababisha Mwalimu Nyerere kidogo kupinduliwa na Jesh lake !!!

Lkn ni Jenerali muislamu Abdallah Twalipo ndio akamuokoa Mwalimu Nyerere kwenye kisanga icho so Nyerere kapiga hesabu kaona tukifuta na iyo historia naweza kuangushwa kabisa!!!

lkn wengine wanadai Utashi wa Nyerere na Kanisa kataliki wakaona iyo historia inasaidia kulitukuza Kanisa na kwakubebeshwa MWaraabu zigo la Utumwa ivyo UISLAM ndio utapata pigo,,

Vile Mzungu ndio Kanisa lenyewe..✍️
 
Acha ufala ww iyo UK kwani ni nchi ya kiarabu? Udini umekukaa mpaka unashindwa kusema ukweli

Wakristo ndo waloongoza hizi biashara za kidhalimu
Njoo Zanzibar uone kanisa la Anglican pale jinsi watumwa walivokua wakiteswa halafu nitajie msikiti mmoja tu ulokua ukifanya hizi biashara
 
Tena kanisa la Anglican ndio wenyewe Waingereza yani makao Makuu yako UK,

Taifa letu litafika wkt watafuta ujinga ambao kwasasa Dunia ipo wazi zaidi tofaut na miaka ya nyuma,

chakushangaza historia ya Tanzania tu ndio imemgusa MWARABU !!!!!!!

DUNIANI wanajua ni Mzungu.
 
Waarabu na Umoja wa Mataifa hawajui kama wewe Imeloa na Wadanganyika wengine Tumedanganywa kwenye historia yetu !!!!

Narudia. Umoja wa Mataifa hakuna sehemu kwenye janga la Utumwa wakatajwa Waarabu !!!

Zaidi ya Propaganda ya kidini ndani ya Tanzania tu ni aibu kabisa!!!!!

kwa kuwausisha Waarabu kwenye biashara ya Utumwa na kuwaacha WAZUNGU‼️

Wakielezewa tu ❗️ Ety Wazungu wakaja kupiga marufuku Biashara ya Utumwa,,

Aibu kubwaa historia yetu ‼️ kwaiyo sisi hatumo kwenye kudai fidia kwa Mzungu❗️

na historia yetu ya Mchongo inataka sasa kama ndio wenzetu watalipwa sisi tumdai mtu sio muhusika yani Mwarabu !!!

Sasa tutaanzaje hata kushutumu tu kwa Mwarabu kwa kuhusika na janga sio lake❗️

ktk maisha yangu yote sijawai sikia kiongozi wangu yoyote wa Serikali ya Tanzania kulalamika kwa kiongozi yoyote wa OMAN kutokana na Utumwa kwamaana wanajua Ukweli ‼️

BIASHARA.ya Mzungu wao ndio wameendesha iyo Biashara kwa miaka na miaka,,

Wenye Akili tujiulize ichi kichekesho cha historia yetu!!

kwanini WAZUNGU wamefichwa kwenye iyo historia yetu!!

na Badala yake madhambi yao WAZUNGU wakabebeshwa Waarabu Kwenye historia yetu!!!

Mfumo Kikristo wa kipindi kabla ya Uhuru ndio Umechangia aya mambo!!!

Sababu Waingereza ndio Wamefanya iyo Biashara na tukumbuke ni Waingereza ndio wametupa Uhuru mezani!!!

Tukapewa na Masharti mengi yakiwemo iyo historia na mengine yakiwemo ya kutokutakiwa kubadilisha Sheria ya Ardhi NK !!!

si Tanzania tu tumebebeshwa aya Mambo ya Mkoloni wetu nchi nyingi za Africa zimepitia aya!!!

kwaiyo zipo nchi zimefuta iyo historia na zengine zimefuta mengine na kuacha iyo historia ya Utumwa kubebeshwa Mwarabu !!!

kutokana na fursa sisi Tanzania tulifuta Sheria ya Ardhi Uingereza ikatubana kuichumi kwa kosa ilo,

Kitendo icho kilisababisha Mwalimu Nyerere kidogo kupinduliwa na Jesh lake !!!

Lkn ni Jenerali muislamu Abdallah Twalipo ndio akamuokoa Mwalimu Nyerere kwenye kisanga icho so Nyerere kapiga hesabu kaona tukifuta na iyo historia naweza kuangushwa kabisa!!!

lkn wengine wanadai Utashi wa Nyerere na Kanisa kataliki wakaona iyo historia inasaidia kulitukuza Kanisa na kwakubebeshwa MWaraabu zigo la Utumwa ivyo UISLAM ndio utapata pigo,,

Vile Mzungu ndio Kanisa lenyewe..✍️
Unaandika maneno mengi yasiyo na maana yoyote ili kutetea mwarabu kisa unadai alikuletea dini kweli waafrika tutabaki wajinga daima.

Wewe pagazi utumwa ulioendeshwa na mwarabu kwa zaidi ya karne 7 katika eneo la Afrika Mashariki unajifanya hujui kwa sababu ya bangi inayoitwa dini.

Wewe unafahamu wale wabembe na wamanyema walitokaje Congo na kuja pale Kigoma. Je, unafahamu kwamba baba yake Karume akitokea Malawi na kuletwa Unguja akiwa kama mtumwa na unafahamu kwamba waswahili wengi walioko Unguja ni zao la utumwa wa mwarabu.

Huna maana kabisa wewe na hata wewe hapo ulipo kinachokusumbua ni kasumba ya utumwa tu hamna kitu kingine.
 
Acha ufala ww iyo UK kwani ni nchi ya kiarabu? Udini umekukaa mpaka unashindwa kusema ukweli

Wakristo ndo waloongoza hizi biashara za kidhalimu
Njoo Zanzibar uone kanisa la Anglican pale jinsi watumwa walivokua wakiteswa halafu nitajie msikiti mmoja tu ulokua ukifanya hizi biashara
Unaoongelea udini wakati andiko lako tu limejaa udini kwa kutetea waarabu. Sasa tueleze kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki ni nani walioshiriki kufanya biashara haramu ya utumwa.
 
Unaandika maneno mengi yasiyo na maana yoyote ili kutetea mwarabu kisa unadai alikuletea dini kweli waafrika tutabaki wajinga daima.

Wewe pagazi utumwa ulioendeshwa na mwarabu kwa zaidi ya karne 7 katika eneo la Afrika Mashariki unajifanya hujui kwa sababu ya bangi inayoitwa dini.

Wewe unafahamu wale wabembe na wamanyema walitokaje Congo na kuja pale Kigoma. Je, unafahamu kwamba baba yake Karume akitokea Malawi na kuletwa Unguja akiwa kama mtumwa na unafahamu kwamba waswahili wengi walioko Unguja ni zao la utumwa wa mwarabu.

Huna maana kabisa wewe na hata wewe hapo ulipo kinachokusumbua ni kasumba ya utumwa tu hamna kitu kingine.
Tatizo lipo pale pale nani kamleta uyo Mzee Karume apo Zanzibar ??!!!

kwasababu Oman walikuwa chini ya Usalama na Udhamin wa Uingereza!!!!

ukisema Malawi nayo ilikuwa chini ya Uingereza na ukijiongeza kidogo utagundua Malawi Congo nikama hawana bahari ivyo chocho yake kuu Uingereza ni Zanzibar!!

wanakusanywa kuletwa apo meli inawabeba apo kupeleka American.

UN wanashutumu Uingereza kwa biashara ya Binadamu tena jamaa ni Mizayuni bado unataka nini kuamini kuwa Oman hawakuusika na utumwa!!!

Pia Imeloa fahamu Oman sio Africa tu Ilitawala mpaka Brazil 🇧🇷 Mexico kama umefika Zanzibar na ukiweza ingia YouTube tembelea mitaa ya Brazil utazani upo Zanzibar!!

Majina ya Neymar Fatuma Omar Aisha Mariam nk. utashangaa yako kibao izo Nchi!!!

lkn OMAN haipo kwenye iyo Biashara ya Utumwa tafuta ripoti yoyote ya UN leta hapa.. ??

wacha propaganda za Kanisa.
 
Mwarabu alikubarika npopote lkn Tanzania wakaona historia yetu ipikwe sumu kumuhusu Mwarabu lkn kumfanya Mwarabu asijekurudi tena Tanzania !!!

wapo wanahistoria wanakataa kuwa Uingereza hawakuusika ktk historia ya Tanzania kabisa !!!

na somo la historia halikuwepo zama izo lkn ni Watanzania wenyewe na zaidi ni Wakristo walijiongeza kwenye iyo historia,,,
 
Nchi za kiaika nazo ziwapige marufuku waingereza kuingia kwao na waende mbali zaidi, wataifishe mali zao zote zilizomo humu Africa ndipo akili itawingia kichwani...
 
Tatizo lipo pale pale nani kamleta uyo Mzee Karume apo Zanzibar ??!!!

kwasababu Oman walikuwa chini ya Usalama na Udhamin wa Uingereza!!!!

ukisema Malawi nayo ilikuwa chini ya Uingereza na ukijiongeza kidogo utagundua Malawi Congo nikama hawana bahari ivyo chocho yake kuu Uingereza ni Zanzibar!!

wanakusanywa kuletwa apo meli inawabeba apo kupeleka American.

UN wanashutumu Uingereza kwa biashara ya Binadamu tena jamaa ni Mizayuni bado unataka nini kuamini kuwa Oman hawakuusika na utumwa!!!

Pia Imeloa fahamu Oman sio Africa tu Ilitawala mpaka Brazil 🇧🇷 Mexico kama umefika Zanzibar na ukiweza ingia YouTube tembelea mitaa ya Brazil utazani upo Zanzibar!!

Majina ya Neymar Fatuma Omar Aisha Mariam nk. utashangaa yako kibao izo Nchi!!!

lkn OMAN haipo kwenye iyo Biashara ya Utumwa tafuta ripoti yoyote ya UN leta hapa.. ??

wacha propaganda za Kanisa.
 
Unaoongelea udini wakati andiko lako tu limejaa udini kwa kutetea waarabu. Sasa tueleze kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki ni nani walioshiriki kufanya biashara haramu ya utumwa.
Jibu swali langu kwanza
 
Back
Top Bottom