Utumwa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu na ni sahihi kabisa fidia idaiwe na nchi za kiarabu ambazo pia zilishiriki katika hiyo biashara haramu pia wawemo kwenye orodha ya wanaofaa kudaiwa.
Ila itafutwe namna ya hiyo fidia kuwafikia walengwa ambao ni wananchi kwani fidia ikifika mikononi mwa serikali kama hii ya Tanzania itakuwa ni sawa na kumpa fisi mwenye njaa mtoto amsindikize kwao.
Acha ufala ww iyo UK kwani ni nchi ya kiarabu? Udini umekukaa mpaka unashindwa kusema ukweliUtumwa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu na ni sahihi kabisa fidia idaiwe na nchi za kiarabu ambazo pia zilishiriki katika hiyo biashara haramu pia wawemo kwenye orodha ya wanaofaa kudaiwa.
Ila itafutwe namna ya hiyo fidia kuwafikia walengwa ambao ni wananchi kwani fidia ikifika mikononi mwa serikali kama hii ya Tanzania itakuwa ni sawa na kumpa fisi mwenye njaa mtoto amsindikize kwao.
Acha ufala ww iyo UK kwani ni nchi ya kiarabu? Udini umekukaa mpaka unashindwa kusema ukweli
Wakristo ndo waloongoza hizi biashara za kidhalimu
Njoo Zanzibar uone kanisa la Anglican pale jinsi watumwa walivokua wakiteswa halafu nitajie msikiti mmoja tu ulokua ukifanya hizi biashara
Unaandika maneno mengi yasiyo na maana yoyote ili kutetea mwarabu kisa unadai alikuletea dini kweli waafrika tutabaki wajinga daima.Waarabu na Umoja wa Mataifa hawajui kama wewe Imeloa na Wadanganyika wengine Tumedanganywa kwenye historia yetu !!!!
Narudia. Umoja wa Mataifa hakuna sehemu kwenye janga la Utumwa wakatajwa Waarabu !!!
Zaidi ya Propaganda ya kidini ndani ya Tanzania tu ni aibu kabisa!!!!!
kwa kuwausisha Waarabu kwenye biashara ya Utumwa na kuwaacha WAZUNGU‼️
Wakielezewa tu ❗️ Ety Wazungu wakaja kupiga marufuku Biashara ya Utumwa,,
Aibu kubwaa historia yetu ‼️ kwaiyo sisi hatumo kwenye kudai fidia kwa Mzungu❗️
na historia yetu ya Mchongo inataka sasa kama ndio wenzetu watalipwa sisi tumdai mtu sio muhusika yani Mwarabu !!!
Sasa tutaanzaje hata kushutumu tu kwa Mwarabu kwa kuhusika na janga sio lake❗️
ktk maisha yangu yote sijawai sikia kiongozi wangu yoyote wa Serikali ya Tanzania kulalamika kwa kiongozi yoyote wa OMAN kutokana na Utumwa kwamaana wanajua Ukweli ‼️
BIASHARA.ya Mzungu wao ndio wameendesha iyo Biashara kwa miaka na miaka,,
Wenye Akili tujiulize ichi kichekesho cha historia yetu!!
kwanini WAZUNGU wamefichwa kwenye iyo historia yetu!!
na Badala yake madhambi yao WAZUNGU wakabebeshwa Waarabu Kwenye historia yetu!!!
Mfumo Kikristo wa kipindi kabla ya Uhuru ndio Umechangia aya mambo!!!
Sababu Waingereza ndio Wamefanya iyo Biashara na tukumbuke ni Waingereza ndio wametupa Uhuru mezani!!!
Tukapewa na Masharti mengi yakiwemo iyo historia na mengine yakiwemo ya kutokutakiwa kubadilisha Sheria ya Ardhi NK !!!
si Tanzania tu tumebebeshwa aya Mambo ya Mkoloni wetu nchi nyingi za Africa zimepitia aya!!!
kwaiyo zipo nchi zimefuta iyo historia na zengine zimefuta mengine na kuacha iyo historia ya Utumwa kubebeshwa Mwarabu !!!
kutokana na fursa sisi Tanzania tulifuta Sheria ya Ardhi Uingereza ikatubana kuichumi kwa kosa ilo,
Kitendo icho kilisababisha Mwalimu Nyerere kidogo kupinduliwa na Jesh lake !!!
Lkn ni Jenerali muislamu Abdallah Twalipo ndio akamuokoa Mwalimu Nyerere kwenye kisanga icho so Nyerere kapiga hesabu kaona tukifuta na iyo historia naweza kuangushwa kabisa!!!
lkn wengine wanadai Utashi wa Nyerere na Kanisa kataliki wakaona iyo historia inasaidia kulitukuza Kanisa na kwakubebeshwa MWaraabu zigo la Utumwa ivyo UISLAM ndio utapata pigo,,
Vile Mzungu ndio Kanisa lenyewe..✍️
Unaoongelea udini wakati andiko lako tu limejaa udini kwa kutetea waarabu. Sasa tueleze kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki ni nani walioshiriki kufanya biashara haramu ya utumwa.Acha ufala ww iyo UK kwani ni nchi ya kiarabu? Udini umekukaa mpaka unashindwa kusema ukweli
Wakristo ndo waloongoza hizi biashara za kidhalimu
Njoo Zanzibar uone kanisa la Anglican pale jinsi watumwa walivokua wakiteswa halafu nitajie msikiti mmoja tu ulokua ukifanya hizi biashara
Tatizo lipo pale pale nani kamleta uyo Mzee Karume apo Zanzibar ??!!!Unaandika maneno mengi yasiyo na maana yoyote ili kutetea mwarabu kisa unadai alikuletea dini kweli waafrika tutabaki wajinga daima.
Wewe pagazi utumwa ulioendeshwa na mwarabu kwa zaidi ya karne 7 katika eneo la Afrika Mashariki unajifanya hujui kwa sababu ya bangi inayoitwa dini.
Wewe unafahamu wale wabembe na wamanyema walitokaje Congo na kuja pale Kigoma. Je, unafahamu kwamba baba yake Karume akitokea Malawi na kuletwa Unguja akiwa kama mtumwa na unafahamu kwamba waswahili wengi walioko Unguja ni zao la utumwa wa mwarabu.
Huna maana kabisa wewe na hata wewe hapo ulipo kinachokusumbua ni kasumba ya utumwa tu hamna kitu kingine.
Huyu pia ni mhamiaji anatoaje kauli kama hii? Au hajui hata hao wazungu wanamuona ni mtumwa tu?Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho
Tatizo lipo pale pale nani kamleta uyo Mzee Karume apo Zanzibar ??!!!
kwasababu Oman walikuwa chini ya Usalama na Udhamin wa Uingereza!!!!
ukisema Malawi nayo ilikuwa chini ya Uingereza na ukijiongeza kidogo utagundua Malawi Congo nikama hawana bahari ivyo chocho yake kuu Uingereza ni Zanzibar!!
wanakusanywa kuletwa apo meli inawabeba apo kupeleka American.
UN wanashutumu Uingereza kwa biashara ya Binadamu tena jamaa ni Mizayuni bado unataka nini kuamini kuwa Oman hawakuusika na utumwa!!!
Pia Imeloa fahamu Oman sio Africa tu Ilitawala mpaka Brazil 🇧🇷 Mexico kama umefika Zanzibar na ukiweza ingia YouTube tembelea mitaa ya Brazil utazani upo Zanzibar!!
Majina ya Neymar Fatuma Omar Aisha Mariam nk. utashangaa yako kibao izo Nchi!!!
lkn OMAN haipo kwenye iyo Biashara ya Utumwa tafuta ripoti yoyote ya UN leta hapa.. ??
wacha propaganda za Kanisa.
Jibu swali langu kwanzaUnaoongelea udini wakati andiko lako tu limejaa udini kwa kutetea waarabu. Sasa tueleze kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki ni nani walioshiriki kufanya biashara haramu ya utumwa.