Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
sijui wewe ndo boss wangu kosea basi ...aaagh😛oa
Hahahaha!
Hii ilinitokea jana,
Nahukuru nilistuka kabla ya kupost lol!
Ila hata nilikosea wala siogopi!
Ilishawahi kunitokea kabla sijaclick kupost nikagundua mistake ...
Aisee inabidi tuwe makini isije ikaja kutu cost maana unaweza kukuta unataniana na wakwe zako hapa...