my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Kama jina lako lilivyo my name is my name na ndivyo ilivyo Your handsome man is your handsome man sio dunia nzima kila binadamu na view tofaut juu ya mwenzakeAnaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza. Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji. Ameigiza muvi na tamthilia yingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset). Huyu ndo mwanaume handsome na mwenye mvuto kuliko wote duniani View attachment 2166966View attachment 2166967View attachment 2166968View attachment 2166969View attachment 2166970View attachment 2166971
Duniani hakuna mwanaume handsome wala shape Munje wanaume wote handsome ingekua ivo Remmy Ongala RIP asingevuta goma la kizunguKama jina lako lilivyo my name is my name na ndivyo ilivyo Your handsome man is your handsome man sio dunia nzima kila binadamu na view tofaut juu ya mwenzake
Mvuto wake ni upi? Kwanza mambo zingine hizi za mademu kupost.Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza.
Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji.
Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset). Huyu ndo mwanaume handsome na mwenye mvuto kuliko wote duniani.
Ni kweli la Kirusi, je goma la Remmy lipo hai? Mwenye updates zake na vipicha kidogo vitatusaidia kuanza miseleDuniani hakuna mwanaume handsome wala shape Munje wanaume wote handsome ingekua ivo Remmy Ongala RIP asingevuta goma la kizungu
Mimi ndo nimesema kwani kuna tatizo?Umesikia wapi na nani kasema
Hao watoa takwimu wamerogwa!kwa huo upemba wake au?
Ni handsome dunia nzima acha wivuKama jina lako lilivyo my name is my name na ndivyo ilivyo Your handsome man is your handsome man sio dunia nzima kila binadamu na view tofaut juu ya mwenzake
???Si angepelekwa KOREA kwanza akaonane na wenzake
Wapo mmoja wapo ni uyo kwa picha apo juuDuniani hakuna mwanaume handsome wala shape Munje wanaume wote handsome ingekua ivo Remmy Ongala RIP asingevuta goma la kizungu